• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Vipeperushi
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Maadili ya Msingi

KANUNI ZA MAADILI YA MSINGI MANISPAA YA UBUNGO
Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo unaongozwa na maadili ya msingi  ambayo hujumuisha  kile ambacho Halmashauri inakithamini zaidi kama vile wafanyakazi wote wanapaswa kuzingatia utekelezaji Maadili ya msingi ambayo yanayoongoza mpango mkakati.

 MAADILI YA MSINGI:

I. Uwazi: Halmashauri inafanya kazi ili kuhakikisha kuwa kuna upatikanaji wa taarifa kwa Umma ya namna inavyofanya kazi zake za kila siku, Halmashauri inakusudia kuitumikia jamii kwa uwezo wake kwa kuzingatia uwazi.

II. Uaminifu na Maadili: Halmashauri itahakikisha wafanyakazi wanafanya kazi kwa usahihi, kwa njia ya uaminifu, haki, na uwajibikaji ili kujenga mahusiano ya kweli na yenye nguvu  miongoni mwa wafanyakazi, wadau, na wateja kwa sifa ya kuaminika katika Halmashauri, pia kwa manufaa na maslahi ya kila mtu.

III. Uvumbuzi: Halmshauri inalenga kuwa mstari wa mbele miongoni mwa  Halmashauri zingine katika utoaji wa huduma za kijamii. Wafanyakazi wanahimizwa kubadilika kutikokana na mazingira kuja na mawazo ya ubunifu ili kukabiliana na changamoto za kijamii na kuimarisha fursa zilizopo za utoaji  wa huduma bora kwa kijamii na ufanisi katika Halmshauri.

IV.Uwajibikaji: Halmashuri inalenga kuzingatia viwango vya utaalamu mahali pa kazi, Uwajibikaji ni kipengele muhimu cha utendaji kazi katika Halmashauri. Wafanyakazi wanakumbushwa kuwa wameajiliwa kwa kigezo cha taaluma walizosomea wanatakiwa kuwajibika katika halmashauri kwa kutoa huduma bora za kijamii na kiuchumi  kwa  ufanisi kwa kutumia rasilimali zilizopo kwa ajili ya maendeleo endelevu.

V. Mtazamo wa jamii: Halmashauri inajidhatiti kukidhi  mahitaji muhimu ya jamii. hii linafanyika kwa kutoa kipaumbele katika kubainsha mahitaji yao na hivyo kutoa huduma kulingana na mahitaji katika ngazi zote na kwa kiwango.

VI. Matokeo chanya: Halmashauri inajitahidi kuzalisha matokeo chanya yanayokubalika katika jamii il kuweza kuleta mabadiliko ya mazuri ya kimaendeleo.

VII. Ushirikiano: Halmashauri inahimiza kufanya kazi kwa kushirikiana na washirika mbalimbali wa maendeleo kutoka sekta binafsi na za umma katika utoaji wa huduma za jamii kwa ufanisi.

Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • Tangazo la ukataji au kuhuisha leseni na Tozo mbalimbali. December 08, 2017
  • Uchangiaji Damu Hospitali ya Sinza June 14, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMPUNI YA YAPI MERKEZI YATOA MSAADA MILIONI 230 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA SHULE UBUNGO

    January 26, 2021
  • LEAT WASHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAZINGIRA KATIKA MAENEO KOROFI

    January 26, 2021
  • WAMILIKI VITUO VYA KULELEA WATOTO (DAYCARE) WAPEWA MAFUNZO

    January 23, 2021
  • SILINDE AIPONGEZA MANISPAA YA UBUNGO UJENZI WA MADARASA S/M KING'ONGO

    January 23, 2021
  • Tazama zote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa