Mwombaji anapaswa kujaza fomu ya TFN 211 Kikamilifu fomu hiiinapatikana ofisi za Bishara Manispaa ya Ubungo iliyopo kibamba CCM.
viambatanisho muhimu wakati wa ujazaji fomu ya maombi ni :
1.hotocopy ya certificate of incorparation au kama ni jina la biashara( attach photocopy ya certificate of incorpation in case of company or certificate of registration in case of business name and extract from the registral
2.Kama ni kampuni , memorundum and articles of association inayoonyesha madhumuni ya kuazishwa kwa kampuni kunakoendana na leseni inazoombwa
3.Uraia. kivuli cha kitambulisho cha mpiga kura ,kitambulisho cha utaifa, Hati ya kusafiria , lesni ya udereva au hati ya kiapo kinachoonyesha kuwa wewe ni mtanzania au hati ya kuishi Tanzania daraja A kama wewe sio Mtanzania
4 Iwapo wanahisa wote wapo nje ya nchi itabidi maombi yaambatane na hati ya kiuwakili ( Power of Antony)
5 Ushaidi wa kimaandishi kuwa ana mahali pa kufanyia biashara ( kivuli cha mkataba wa kupangisha , risiti ya malipo ya kodi za majengo au ardhi kwa wenye nyumba zao)
6 Hati ya kujiandikisha kama ni mlipa kodi.
7 Business Tax clearence
9 Kwa leseni zinazodhibitiwa na mamulaka mbalimbali kama vile (TFDA,EWURA,SRB,ERB,TCRA, TARI NK) ni lazima muusika kuwa na kuwa na leseni husika kabla ya kuomba kuomba leseni za biashara
10 Hati ya Kitaalamu( professional certificate ) kwa biashara zote za kitaalamu mfano leseni za udakitari , leseni za kuanzisha Hospitali , ujenzi ,uhandisi, urubani wa ndege captain na Meli.
NB Leseni za biashara hulipwa mara moja kwa mwaka tangu tarehe ilipoanza kutumika hadi tarehe mwaka unapokamilika
Kibamba Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa