Kulingana na sheria za Mitaa sura 288 si ruhusa mtu kujenga bila kibali cha ujenzi kinachopatikana katika Halmashauri husika lilipo eneo kuna aina mbili za vibali vya ujenzi ambacho ni kibali cha ukarabati na kibali cha ujenzi mpya.
1 Kibali cha ujenzi :
Mwombaji anapaswa kufanya yafuatayo
a kutuma maombi kwa mamlaka ya mji
b. kuwasilisha michoro ya jengo na kumbukumbu husika za umiliki
c. kupata kibali cha maandishi kinachoitwa 'kibali cha ujenzi'
NB. Ni vema kupata kibali cha awali(Planning concent) kabla ya kuomba kibali cha ujenzi hivyo muendelezaji anatakiwa aandae mchoro wa awali (Skech plans 1:00 1:200) akionyesha aina ya ujenzi anotaka kufanya ili aweze kupata ridhaa ya kuendelea na hatua za kuandaa mchoro ya mwisho
Kibamba Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa