• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Vipeperushi
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Ufugaji na Uvuvi

MIFUGO NA UVUVI

Muundo wa Idara:

Idara ya Mifugo na Uvuvi inaundwa na Sehemu kuu mbili ambazo ni:

Ø  Mifugo na

Ø  Uvuvi

 Majukumu ya Idara:

Jukumu kuu la Idara ni pamoja na usimamizi wa shughuli zote zinazohusu sekta ya Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na Serikali Kuu na Wadau mbalimbali katika sekta. Baadhi ya shughuli hizo ni pamoja na:-

Ø  Kusimamia shughuli za udhibiti wa magonjwa ya mlipuko ya mifugo ikiwa ni pamoja na kampeni za chanjo.

Ø  Kusimamia ubora na usalama wa mazao yatokanayo na mifugo na uvuvi

Ø  Kuratibu na kusimamia sheria mbali mbali za mifugo na uvuvi

Ø  Kuratibu na kusimamia shughuli zote zinazohusiana na maandalizi na ushiriki wa mikutano ya Kitaifa na Kimataifa pamoja na sherehe mbalimbali za mifugo na uvuvi kama za wakulima Nanenane, zinazofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J. K. Nyerere, mkoani Morogoro na siku ya chakula duniani.

Ø  Kusimamia na kuratibu shughuli zinazofanyika katika umiliki wa Manispaa ya Ubungo kama majengo ya Manispaa yaliyopo chini ya Idara ya Mifugo na Uvuvi kama vile; machinjio , Banda la Maonesho ya Kilimo, Nanenane mkoani Morogoro .

Ø  Kusimamia mapato yatokanayo na ushuru wa Mifugo, samaki na mazao yake.

Ø  Kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiutawala na utumishi wa wataalam wa mifugo na uvuvi.

Ø  Kuratibu na Kusimamia ukusanyaji wa ushuru, tozo, ada, na leseni zinazohusiana na sekta ya mifugo na uvuvi.

Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • Tangazo la ukataji au kuhuisha leseni na Tozo mbalimbali. December 08, 2017
  • Uchangiaji Damu Hospitali ya Sinza June 14, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAMILIKI WA MABASI WAAGIZWA KUFUNGA OFISI ZILIZO NJE YA KITUO CHA MAGUFULI

    April 01, 2021
  • MAAFISA UGANI MANISPAA YA UBUNGO WAPIGWA MSASA KUHUSU MFUMO WA MOBILE KILIMO(M-KILIMO)

    March 26, 2021
  • TARI YAWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA KILIMO MANISPAA YA UBUNGO JUU YA KANUNI BORA ZA KILIMO

    March 29, 2021
  • VIKUNDI VYA VICOBA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI

    March 29, 2021
  • Tazama zote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa