• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Vipeperushi
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BODI YA AFYA MANISPAA YA UBUNGO YAPONGEZWA KWA UTENDAJI MZURI

Posted on: March 17th, 2021

Hayo yalisemwa  na mstahiki Meya Manispaa ya ubungo Mhe.Japhari nyaigesha wakati wa kikao hicho kilichofanyika  tarehe 17/3/2021 kikiwa na lengo la kupitia taarifa ya miradi ya maendeleo ya afya kwa kipindi cha oktoba hadi disemba na   ujenzi wa miradi pamoja na usimamizi shirikishi wa vituo vya afya .

Nyaigesha aliwataka Wajumbe kuhakikisha wanaendelea na kasi waliyokuwa nayo ilikuleta mandeleo kwa wananchi wa ubungo kwa kuboresha miundombinu ya afya na kusimamia ipasavyo

"Ubungo imeendelea kufanya vizuri kwenye sekta ya afya hasa katika hutoaji wa huduma na ujenzi wa vituo vya afya na mfano mzuri kituo cha afya kimara ni  kwa sababu ya kujituma kwenu niwapongeze sana kamati hii" Alisema hayo Nyaigesha

 Sambamba na hayo Mwenyekiti wa bodi hiyo Ndg.Israel Sostheness aliwashauri kamati kuwahusisha wadau mbalimbali na kutafuta vyanzo mbalimbali vya fedha ili kusaidia katika maswala ya afya ili kuboresha zaidi  miundombinu ya afya na ustawi wa afya kwa wana ubungo

Pia kamati ilishauriwa kuweza kufanya maboresho na upanuzi wa kituo cha afya cha mbezi kutokana na eneo hilo kuwa na mkusanyiko mkubwa watu kwa sasa hivyo mahitaji kwaajili ya  huduma ya afya  kuongezeka kwa kasi

Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • Tangazo la ukataji au kuhuisha leseni na Tozo mbalimbali. December 08, 2017
  • Uchangiaji Damu Hospitali ya Sinza June 14, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAMILIKI WA MABASI WAAGIZWA KUFUNGA OFISI ZILIZO NJE YA KITUO CHA MAGUFULI

    April 01, 2021
  • MAAFISA UGANI MANISPAA YA UBUNGO WAPIGWA MSASA KUHUSU MFUMO WA MOBILE KILIMO(M-KILIMO)

    March 26, 2021
  • TARI YAWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA KILIMO MANISPAA YA UBUNGO JUU YA KANUNI BORA ZA KILIMO

    March 29, 2021
  • VIKUNDI VYA VICOBA KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI

    March 29, 2021
  • Tazama zote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa