• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Vipeperushi
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

Elimu Msingi

IDARA YA  ELIMU YA MSINGI

Malengo na majukumu ya idara ya elimu msingi.

 Kazi kubwa ya Idara ya Elimu Msingi ni kama ifuatavyo-:

Ø  Kuongeza uandikishaji kwa kuzingatia fursa sawa.

Ø  Kuinua ubora wa Elimu katika ngazi zote kwa Halmashauri.

Ø  Kusimamia uwezo wa utendaji kazi.

Ø  Kushughulikia masuala ya mtambuka na taratibu za kitaasisi.

Ø  Kufanya utafiti wa Kielimu,ufuatiliaji na tathmini za Kielelimu.

Ø  Kupunguza idadi ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika

Ø  Kuinua ubora wa mazingira ya Kufundishia na kujifunzia wanafunzi wote.

Ø  Kuongeza idadi ya madarasa na watoto wa shule za awali.

Ø  Kuhakikisha kuwa Elimu ya UKIMWI (VVU), Mazingira na stadi za maisha zinatolewa kwa ufanisi katika shule za msingi.

Ø  Kusimamia upatikanaji na uwezeshaji wa mazingira kwa wanafunzi wenye Ulemavu.

  Mikakati  iliyopo  ili kuboresha elimu na kuinua kiwango cha taaluma na  kufanikisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa.(BRN).

  Kutekeleza shughuli muhimu kulingana na ufinyu wa bajeti uliopo.

  Kuboresha Taaluma kwa kugawa maafisa Elimu kila kata kwa ajili ya ufuatiliaji wa karibu wa Taaluma na matatizo ya walimu.

  Kuboresha miundo mbinu na mazingira ya kujifunza na kujifunzia kwa kutumia fursa zilizopo.

  Kufanya vikao mbalimbali vya kila mwezi kati ya Maofisa Elimu, Waratibu na Walimu Wakuu kwa kuzingatia ratiba maalum iliyoandaliwa.Vikao rasmi Vinne kila mwezi vimekwishafanyika kufikia sasa.

  Uendeshaji wa Semina mbalimbali za masomo na semina za kitaalamu na kufanya mrejesho shuleni.

  Kuwajengea uwezo Kamati  za Taaluma kwa kila shule ili kuweza kufanya upimaji na tathimini kupata mweleko wa Maendeleo ya Wanafunzi.

  Kuimarisha Vyama (Clubs) za masomo na k.k.k mashuleni  .

  Kushirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu ili kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Mfano Wazazi, watu binafsi na mashirika mbalimbal na Makampuni.

Shughuli za Elimu ya Watu wazima-

Kitengo hiki kinatekeleza  shughuli zifuatazo-:

  Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Waliokosa(MEMKWA)

  Mpango wa Uwiano kati ya Elimu ya Watu Wazima na Jamii(MUKEJA)

  Program ya Elimu ya Sekondari Huria (PESH)

  Elimu Masafa na Ana kwa Ana(ODL)

  Program ya Ndiyo Ninaweza(YES I CAN)(Idadi ya vituo vimeambatanishwa)

Taarifa

  • HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA June 12, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA August 12, 2019
  • Tangazo la ukataji au kuhuisha leseni na Tozo mbalimbali. December 08, 2017
  • Uchangiaji Damu Hospitali ya Sinza June 14, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • VIKUNDI 22 VYA WAJASIRIAMALI VYAPEWA UTARATIBU UNUNUZI WA PIKIPIKI NA BAJAJI

    January 14, 2021
  • MKURUGENZI WA IDARA YA AFYA TAMISEMI AIPONGEZA MANISPAA YA UBUNGO

    January 09, 2021
  • VIONGOZI WA MITAA WATAKIWA KUHAKIKI KAYA HEWA ZA TASAF

    January 08, 2021
  • MANISPAA YA UBUNGO YAKABIDHI VITI NA MEZA 200 KWA AJILI YA KIDATO CHA KWANZA

    January 08, 2021
  • Tazama zote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kibamba Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa