English
Kiswahili
Wasiliana nasi
|
Maswali ya mara kwa mara
|
Barua pepe za Watumishi
|
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu sisi
Historia
Malengo na dhamira
Maadili ya Msingi
Utawala
Muundo
Idara
Elimu Sekondari
Kilimo umwagiliaji na ushirika
Fedha na Biashara
Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
Mipango miji na Ardhi
Elimu Msingi
Utumishi na Utawala
Afya na Ustawi wa Jamii
Maendeleo ya Jamii na Vijana
Maji na Usafishaji
Ufugaji na Uvuvi
Ujenzi
Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
Vitengo
Kitengo cha Sheria
Ukaguzi wa ndani
TEHAMA
Uhusiano
Uchaguzi
Manunuzi na Ugavi
Fursa za Uwekezaji
Ufugaji
Kilimo
Masoko
Vituo vya Basi
Viwanda
Huduma zetu
Afya
Elimu
Maji
Biashara
Ushuru wa Huduma
Usajili wa Tax
Leseni za Biashara
Ushuru wa Hoteli
Ujasiliamali
Kilimo
Uvuvi
Ufugaji
UJUWA
Madiwani
Orodha za Waheshimiwa Madiwani
Kamati za kudumu
Ratiba za vikao vya kisheria
Ratiba ya Kumuona Meya
Miradi
Miradi iliyopangwa
Miradi endelevu
Miradi iliyokamilika
Machapisho
Miongozo
Fomu
Ripoti
Sheria
Vipeperushi
Zabuni iliyotangazwa
Mpango Mkakati
Kituo cha Habari
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Hotuba
Fedha na Biashara
Fedha na Biashara
Fedha.
Majukumu ya Idara ya Fedha yamegawanyika kwenye nyanja zifuatazo:
Usimamizi wa Mishahara:
Kuandaa na kuidhinisha malipo ya Mishahara
kuandaa na kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara
Kuwezesha makato mbalimbali kutoka mishahara ya watumishi na kuyawasilisha mamlaka husika
Kuwezesha Malipo:
Kuandaa na kuingiza malipo kwenye mtandao wa malipo
Kuchukua hundi za malipo kutoka Hazina ndogo
Kupeleka fedha tasilimu na hundi benki
Kutayarisha taarifa za mwezi za malipo
Kuwalipa watumishi fedha taslimu au hundi na kuwalipa watoa huduma kwa hundi
Kutunza daftari la hesabu
Hesabu za Mwisho wa Mwaka:
Kutayarisha Makadirio ya bajeti na kudhibiti matumizi
Kuandaa taarifa ya matumizi ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali
Kujibu hoja zote na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilisha kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Ukusanyaji Mapato:
Kukusanya Mapato
Kusimamia mapato kwa mujibu wa sheria na miongozo
Ukaguzi wa Awali:
Kuhakiki nyaraka za malipo kama zimezingatia taratibu za malipo ikiwa ni pamoja na kuidhinishwa
Kuhakikisha kama sheria, kanuni na miongozo na nyaraka za fedha kama zimezingatiwa
Kuhakikisha malipo yatakayofanyika hayavuki bajeti ya kasma husika.
Taarifa
HUDUMA YA KUKODI GARI LA MAJI TAKA
June 12, 2019
TAARIFA KWA UMMA
August 12, 2019
Tangazo la ukataji au kuhuisha leseni na Tozo mbalimbali.
December 08, 2017
Uchangiaji Damu Hospitali ya Sinza
June 14, 2018
Tazama zote
Habari Mpya
TUFANYE KAZI IPASAVYO TUHAKIKISHE TUNAZINGATIA MISINGI SAHIHI YA KAZI
December 04, 2019
UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA UBUNGO ILIYOPO KIMARA BARUTI.
December 02, 2019
WENYEVITI WAPYA WA SERIKALI ZA MITAA MANISPAA YA UBUNGO WAAPISHWA
November 29, 2019
MKURUGENZI WA MANISPAA YA UBUNGO APOKEA MBAO 800 KUTOKA BENKI YA NMB
November 22, 2019
Tazama zote