• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MANISPAA YA UBUNGO YATOA KADI MAALUMA KWA MAWAKALA WA MABASI WA KITUO CHA MAGUFULI

Posted on: May 16th, 2023



Mawakala wa Mabasi yaendayo mikoani wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli Manispaa ya Ubungo wamepatiwa kadi maalum zitakazo wawezesha kuingia ndani ya kituo hicho bila malipo ya ziada.


Ambapo hapo awali mawakala hao walikuwa wakihitajika kulipia getini kiasi cha shilingi 300 kila wanapoingia ndani ya kituo hicho kwa ajili ya kupeleka abiria kwenye mabasi wanayoyafanyia kazi kitendo ambacho kwao ilikuwa ni kero kubwa, ambapo kwa sasa watalipia mara moja tu kiasi hicho na kuendelea kuingia bure wakiwa na kadi hiyo kwa siku nzima.


Kadi hizo kwa awamu ya kwanza wamepatiwa leo tarehe 16/05/2023 na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Abbas Zuberi Mtemvu alipotembelea kituo hicho akiwa na timu ya wajumbe wa Kamati ya siasa ya Mkoa huo kwa lengo la kutembelea mradi wa ujenzi wa mageti ya kielektroniki katika kituo hicho.

Mradi huo ulijengwa kwa lengo la kuzuia mianya ya upotevu wa mapato ya kituo hicho ambapo hadi kukamilika kwake utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1.6 ambazo ni fedha za mapato ta ndani ya Manispaa hiyo na umeshakamilika kwa asilimia 95 ambapo umeanza kufanya kazi katika mageti 11 ya kuingilia na 6 ya kutokea.


Mhe. Mtemvu ameipongeza Manispaa hiyo kwa jitahida za kutoa kadi hizo ambazo zinaenda kutatua kero hiyo kwa mawakala wa kituo hicho na ametoa wiki mbili ili kukamilisha zoezi hilo na amewataka wamiliki wa mabasi kuhakikisha taarifa zinazohitajika za mawakala wao ziwasilishwe haraka ili zoezi la utoaji wa vitambulisho hivyo likamilike ndani ya wiki mbili.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amesema ofisi yake kwa kushirikiana na ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo itaendelea kuhakikisha kero yeyote itakayo jitokeza inashughulikiwa ndani ya wakati ili watumiaji wa kituo hicho watoe na kupata huduma kwenye mazingira rafiki.

Mhe. Komba ameendelea kueleza kuwa Manispaa ya Ubungo inampango wa kuboresha kituo hicho kwa kuongeza mageti ya kielektroniki ili kuwezesha wananchi kupata huduma hiyo kwa uharaka na hivyo kusaidia wamiliki wa mabasi yanayoingia ndani ya kituo hicho kupata abiria kwa wakati


@ccm_dsm

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.