Kitengo cha Sheria katika Manispaa ya Ubungo ni moja kati ya vitengo vitano vinavyowajibika moja kwa moja kwa Mkurugenzi wa Manispaa na majukumu yake makuu ni kuishauri Halmashauri ya Manispaa kuhusiana na masuala ya kisheria, kutetea maslahi ya Halmashauri ya Manispaa na kuandaa mikataba na makubaliano mbalimbali yanayohusu masuala ya kisheria hususani katika :-
Luguruni Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa