• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

42NPeS5Q4BKB9WVXmoZUS39DmsBoQRS77rB6mpjYf4AYw4eKcZg4WeK2hgeUyGrPxtWF8mkfxUiEiKTi3i8pUPwz9muX

Posted on: February 6th, 2025

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendesha mafunzo kuwajengea uwezo kinadharia na kwa vitendo watumishi ikiwa ni sehemu ya hatua zake madhubuti katika kuimarisha usalama na kuandaa watumishi kwa ajili ya kushughulikia majanga ya moto kupitia mafunzo maalum ya zima moto.

Mafunzo hayo muhimu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, yalihusisha watumishi kutoka idara mbalimbali za halmashauri, na ni sehemu ya jitihada za kuongeza ufanisi katika kukabiliana na majanga ya moto ambayo yanaweza kutokea wakati wowote.

Akifungua Mafunzo hayo kwa watumishi, Afisa Utumishi, anayeshughulikia sehemu ya utawala Bw. Fredrick Mbigili alisema kuwa, ni muhimu kwa watumishi wa Serikali kuwa na mafunzo ya kina kuhusu mbinu za kisasa za kuzima moto ili kuwa na uwezo wa kupunguza madhara makubwa ambayo mara nyingi hutokea kutokana na majanga haya.

“Mafunzo haya ni sehemu ya kuhakikisha kuwa watumishi wetu wanakuwa na ufanisi mkubwa katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku, na pia tunajenga utayari wa kutosha ili kuhakikisha usalama katika jamii yetu. Wakati tukiona majanga ya moto yakizidi kutokea, ni muhimu kuwa na wataalamu watakaoweza kujibu changamoto yoyote inayoweza kutokea kwa haraka na kwa ufanisi,” alisema Bw. Mbigili

Naye Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wilaya ya Ubungo (ASF) Isack J. Njombe ambaye alikuwa mwezeshaji wa mafunzo hayo aliwaeleza washiriki kuhusu mifumo mbalimbali iliyopo ya majengo na nyumba za kuishi kwaajili ya kujikinga na kujiokoa na majanga ya moto yanapotokea.

Mafunzo hayo yalijumuisha masomo kuhusu mbinu za kisasa za kuzima moto, hatua za dharura zinazopaswa kuchukuliwa wakati wa tukio la moto, na jinsi ya kuhamasisha jamii kuchukua tahadhari ili kupunguza hatari ya moto.

Watumishi walijifunza pia kuhusu mbinu za kutoa msaada wa haraka katika matukio ya moto, hatua muhimu za kuhakikisha usalama wa wahanga, na namna ya kushirikiana na vikosi vya uokoaji wakati wa dharura ikiwa ni pamoja na kutumia vifaa vya kisasa vya kuzima moto na kujua mbinu bora za kudhibiti moto

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa