• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

ALIYOYASEMA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO MHE. KHERI JAMES KWENYE MKUTANO NA WANANCHI WA KATA YA SARANGA ULIOFANYIKA MTAA WA TEMBONI LEO AGOSTI 25,2021

Posted on: August 25th, 2021

Pongezi

iwapongeze  wananchi wa kata ya Saranga na Ubungo Kwa ujumla kwa kazi nzuri katika kusimamia shughuli za  maendeleo.

Ulinzi na Usalama

Suala la Ulinzi na Usalama linahitaji ushirikiano  Kati ya wananchi na Serikali ili Ubungo yetu iwe salama, nawapongeza wenyeviti wa mitaa kwa kuunda vikundi vya ulinzi shirikishi kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye Mitaa yenu.

Ili kuhakikisha Ulinzi na Usalama unaimarika kwenye Mitaa yetu ni vema kila mmoja  mwenye uwezo wa kufanya kazi awe na shughuli ya kufanya na  Serikali tutahakikisha  tutatengeneza mazingira bora ya kumwezesha kila mtu kufanya kazi badala ya kujihusisha na uhalifu.

Usafi

Kuna magonjwa mengi yanasababishwa na uchafu, Napenda Ubungo iwe mfano Kwa kuwa na  barabara na   maeneo ya wazi  Safi,  kila mtu afanye usafi kwenye eneo lake, niwasisitize watendaji kuzingatia usafi na tuache tabia ya  kutupa taka ovyo, pandeni miti ili kuweka Wilaya yetu Safi ukizingatia Wilaya yetu ndio lango la jiji  

Miradi ya maendeleo

Serikali inaleta fedha nyingi za miradi ni wajibu wenu wananchi kuilinda na kuitunza, vilevile jengeni utamaduni wa kutembelea miradi inayotekelezwa kwenye maeneo yenu ili kuifahamu lakini pia kutoa taarifa kama kuna changamoto yoyote mapema.

Kuhusu Elimu

 Napenda kuwaeleza kuwa serikali inatoa Elimu bila malipo kama wazazi mtaamua kuchangia fedha ili watoto wasome masaa ya ziada  hayo ni makubaliano yenu na kwa  wanafunzi watakaoshingwa kuchangia  wasilazimishwe hiyo ni ziada sio lazima

Chanjo ya UVIKO 19

 Kuna uvumi ulioenea kuwa  chanjo inapelekwa kwenye shule na inazua taharuki kwa wanafunzi wakiona gari kwenye mazingira ya shule, napenda kutoa maelezo kuwa  hicho kitu hakipo na hakiwezi kutokea kwani chanjo ni hiari ya mtu. Aidha katika Wilaya yetu tunatarajia kwa na siku mbili za kutoa chanjo eneo la wazi ili wale wanaotaka kuchanja na wanakosa muda wapate huduma hiyo.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa