• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BARAZA LA BIASHARA LAFANYIKA UBUNGO, LAPOKEA NA KUTATUA CHANGAMOTO.

Posted on: December 16th, 2024

Baraza la biashara Wilaya ya Ubungo limefanyika mapema l tarehe 16 Disemba, 2024 ambapo wajumbe wa Baraza hilo wameweza kuchangia, kujadili na kutoa ushauri wa masuala mbalimbali na kero zao ambazo zimetatuliwa.

Akizungumza katika baraza hilo, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko amesema kuwa, kupitia  majadiliano ambayo yamefanyika na wajumbe wa baraza hilo ambapo mambo mbalimbali yamewasilishwa na kujadiliwa  majibu yanaenda kutolewa kwa haraka ikiwemo  kuandaliwa kwa orodha ya wafanyabiashara wa wilaya nzima ili waweze kupangwa katika maeneo rasmi.

Na pia katika changamoto ya Barabara ,Maji pamoja  na Masuala ya  Urasimishaji, DC Bomboko  ameahidi kuwa changamoto hizo zinafanyiwa kazi na muda sio mrefu taarifa itatolewa ya maeneo gani ambayo yataanza kufanyiwa kazi.

Kuhusu Barabara, amesema  ukarabati unaendelea katika maeneo mbalimbali kwa kuanza kuchongwa na kujengwa kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri ambapo kwa kila Kata jumla ya shilingi Milioni 20 imetengwa  kukamilisha zoezi hilo.

DC Bomboko amemuagiza Afisa Biashara kutoe elimu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo na ushuru ambao Manispaa inakusanya ili kuwajengea uelewa na kutoa tozo hizo kwa wepesi bila malalamiko.

Wakati huo huo, Bomboko amewataka TRA kufanya vikao vya mara kwa mara na wafanyabiashara ili kuwapa uelewa wa pamoja  kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu tozo na ushuru.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wajumbe wa Baraza hilo, wameshauri wafanyabiashara kupewa elimu kuhusu elimu ya mlipa Kodi kujengewa miundombinu bora ya kufanyia Biashara ili kuwa na uelewa wa pamoja ili kusaidia kutoa Kodi kwa hiari bila usumbufu.

Aidha, Mkuu wa idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Manispaa ya Ubungo Marry Mwakyosi amewataka wafanyabiashara kuzingatia utoaji wa tozo na ushuru wa Halmashauri ili kuwezesha Serikali kufanya maendeleo.

Nae, Mwenyekiti wa wafanyabiashara ndogondogo Ibrahim Ally amemshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kuweza kuwasikiliza na kuwapa majibu ya changamoto zao.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa