• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BARAZA LA MADIWANI LAPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA KUCHUNGUZA MAENEO YA WAZI

Posted on: November 4th, 2021

-Jumla ya maeneo 285 yalibanishwa katika kata tano tu zilizotembelewa.

-Katika maeneo hayo, Manispaa inaweza kukusanya milioni 564.4 kwa mwaka.

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Ubungo  Novemba 4, 2021 limepokea ripoti ya Kamati maalumu iliyoundwa kutembelea na kuchunguza maeneo ya wazi katika kata tano za Manispaa hiyo kama chanzo mojawapo cha Mapato kwa Manispaa.

Kamati hiyo ilitembelea na kukagua maeneo ya wazi  yaliyopo katika kata za *Sinza, Manzese, Mburahati, Goba na Makurumla

Akiongea wakati  wa kukabidhi ripoti hiyo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo  Mhe. Eliamu Manumbu amesema kuwa, Kamati ilifanikiwa kutembelea  maeneo *285 ambapo maeneo 51  ni ya wazi,  211 vizimba vya maji na maeneo mapya 23 yanayoweza kukusanya kiasi cha shilingi 564,352,960 kwa mwaka mzima kwa kata tano zilizotembelewa na kukaguliwa.

Aidha, Mwenyekiti ameendelea kueleza kuwa, Kamati imependekeza zoezi hilo lifanyike kwenye kata 9 zilizobaki ili kubaini maeneo hayo ambayo ni chanzo kikubwa cha Mapato kwa Manispaa hususani katika kipindi hiki ambacho bajeti ya Manispaa hiyo imepanda kutoka bilioni 18 Hadi kufikia bilioni 27  Kwa mwaka huu wa fedha.

Mwenyekiti wa Kamati amefafanua kuwa milioni 564.4 zilibainishwa na Kamati kukusanywa katika maeneo hayo haijajumuisha tozo za maeneo ya wazi ambayo ukubwa halisi haukupimwa.

Akiongea baada ya kupokea ripoti hiyo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffary Juma Nyaigesha ameipongeza  kamati Kwa kazi nzuri iliyofanya na kuahidi kufanyia kazi mapendekezo ya Kamati hiyo ikiwemo kubaini maeneo ya wazi Kwa kata 9 zilibaki pamoja na kuweka mikakati ya kuanza kukusanya mapato kupitia chanzo hicho.

Aidha,  kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na Kamati hiyo , wajumbe wa Baraza hilo wameazimia kuipongeza Kamati hiyo Kwa kutoa motisha Kwa wajumbe wa Kamati hiyo huku Mtendaji wa Mtaa wa NHC kata ya Mburahati kupewa tuzo ya uzalendo na fedha tasilimu milioni moja Kwa ushirikiano mkubwa alioonesha Kwa Kamati.

Kamati hii iliyojumuisha waheshimiwa Madiwani, wataalamu, na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ni utekelezaji wa azimio la Mkutano wa  Baraza la Madiwani lililoketi mwezi April mwaka huu lengo ikiwa ni kuyatambua maeneo hayo ikiwa ni moja ya chanzo cha Mapato ya Halmashauri.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa