• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BARAZA LA MADIWANI LASISITIZA UMALIZIAJI WA MIRADI VIPORO

Posted on: November 10th, 2023

Wajumbe wa baraza la Madiwani Manispaa ya Ubungo wamesisitiza miradi ambayo haijamaliziwa kwa muda mrefu iweze kumaliziwa ili wananchi waweze kunufaika na miradi hiyo.

Hayo yameelezwa  tarehe 10 oktoba,2023 ambapo wajumbe wa baraza hilo walipozungumzia kuhusiana na miradi ambayo haijamaliziwa kwa muda  mrefu na kusababisha wananchi kukosa huduma ikiwemo mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi  Golani iliyopo kata ya Kimara na kusisitiza fedha zitengwe kwaajili ya miradi hiyo kukamilika

Na pia Wajumbe wa baraza hilo, walisitiza Wakandarasi wanaosimamia miradi na kusababisha miradi kukwama  na kushindwa kumalizika kwa wakati wasimamishwe na ili kuwezesha kasi ya utekelezaji wa miradi kuongezeka vikundi vinavyojihusisha na maswala ya ujenzi vinaweza kupewa kazi.

Aidha, wajumbe walisisitiza usanyaji wa mapato na kuwaagiza wataalam kusimamia vyanzo kwa weledi sambamba na kuongeza kasi katika ukusanyaji kwani mapato mengi yanapotea bila kukusanywa

"Nasisitiza Wataalam wabuni vyanzo mbalimbali vya mapato vitakavyosaidia kuongeza mapato ya halmashauri" alisisitiza mjumbe wa baraza hilo ndg Eliam Manumbu

Nae, Katibu tawala Ndg.Hassan Mkwawa alieleza kuwa kwa kipindi cha miezi mitatu yani Julai hadi Septemba  mapato yalikusanywa nakufikia asilimia 23 ambapo lengo ni kukusanya asilimia 25 hii inaonyesha bado hatujafikia kufikia malengo inahitajika nguvu zaidi mapato yakusanywe kwa wingi

Hivyo, kuna timu imeundwa kwa ajili ya kupita katika kila chanzo ili kujua data kamili za mapato yaliyopo katika vyanzo na kuainisha biashara ambazo hazina leseni ikiwemo baa,grocery,maduka,hotel n.k.  jambo ambalo litasaidia kujua ni wapi ambapo panatakiwa kutiliwa kipaumbele ili ukusanyaji wa mapato uongezeke. alieleza hayo Mkwawa

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa