• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2024/2025 LAFANYIKA

Posted on: February 21st, 2025

Baraza la Madiwani  Manispaa ya Ubungo kwa robo ya pili lafanyika  tarehe 21/2/2025 na kupongeza juhudi za Serikali katika kuhakikisha Fedha zinazopatikana zinaenda kutekeleza miradi ambayo wananchi wananufaika nayo

Akizungumza katika Baraza hilo, Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Mhe.Jaffary Nyaigesha amesema Serikali imekua ikifanya juhudi kubwa katika kuhakikisha wananchi wanakuwa na mazingira salama katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu ya barabara, maji nakadhalika

Mhe.Nyaigesha aliendelea kueleza kuwa, Ubungo imefanya maendeleo makubwa kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi na mpaka kufikia sasa changamoto nyingi zimetatuliwa katika upande wa afya na pongezi nyingi ziende kwa kanisa la Watakatifu wa kanisa la siku za mwisho ambao wameweza kusaidia katika kuleta Vifaa tiba katika kituo cha afya kimara na kusaidia ujenzi wa madarasa katika Shule ya msingi Kibamba

"Vilevile, niwambie wajumbe wa Baraza hili mkatoa wafanyabiashara na wengine mkachukue fremu za maduka katika kituo cha kibiashara Cha Afrika mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo ilipokuwepo stendi ya mabasi hapo awali kwani kituo kile kina manufaa makubwa kwa Ubungo katika mapato na kuleta maendeleo kwa taifa" alisisitiza Nyaigesha 

Mstahiki Meya ameendelea kuwapongeza madiwani kwa kuhakikisha wanakuwa mstari wa mbele katika kusimamia miradi katika kata zao 

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Lazaro Twange amelishukuru Baraza hilo kwa mapokezi mazuri toka alipofika Ubungo na kuwataka kuendelea kutoa ushirikiano mzuri katika kutekeleza majukumu ya kila siku ya kuleta maendeleo 

Na pia Mhe.Twange amewataka madiwani hao inapotokea changamoto yoyote yupo tayari kushughulikia kwa haraka.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa