- Mwanzo
- Kuhusu sisi
-
Utawala
- Muundo
-
Idara
- Elimu Sekondari
- Agriculture, Livestock and Fisheries
- Industry,Trade and Investments
- Planning and Coordination
- Infrastructure, Rural and Urban Development
- Pre-Primary and Primary Education
- Human Resources Management and administration
- Health, Social Welfare and Nutrition Services
- Communit Development
- Vitengo
- Sheria ndogo ndogo za Manispaa
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Akiongea Mhe. Juma Japhary Nyaigesha Mwenyekiti wa Baraza hilo ambae ni Mstahiki Meya wa Manispaa amesema ni muhimu kwa maeneo ya Umma kupimwa kwa maslahi ya wananchi na hivyo kuwa na umiliki halali wa maeneo hayo
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashimu Komba amewataka viongozi na watumishi wa manispaa hiyo kushirikiana kwa pamoja katika utekelezaji wa majukumu ili kuwa na matokea chanya na kuhakikisha miradi mbalimbali ya Manispaa inasimamiwa kwa umakini na ufanisi zaidi.

