• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAPIGWA MSASA KUHUSU MAADILI YA VIONGOZI

Posted on: November 4th, 2021

Leo tarehe 04 Novemba, 2021 Wajumbe wa Baraza la Madiwani, Manispaa ya Ubungo wamepata mafunzo ya kujengewa uelewa juu ya masuala ya  Maadili ya Utumishi wa Umma  hususani katika ujazaji wa fomu za Mali na Madeni kwa Viongozi wa Umma.

Mafunzo hayo  yametolewa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ambapo wajumbe hao wameelezwa wajibu na mienendo wanayopaswa kuzigatia wakiwa kama Viongozi wa Umma.

Mgongano wa kimaslahi, matumizi mabaya ya madaraka na mienendo isiyofaa kwa Viongozi na Watumishi wa Umma yameainishwa katika mafunzo hayo kuwa ni miongoni mwa tabia na mienendo isiyofaa kwa Kiongozi wa Umma.

Kupitia mafunzo hayo, wajumbe walielezwa kuwa endapo Kiongozi  wa Umma atatenda makosa ya uvunjifu wa Maadili ya Utumishi  wa umma anaweza kufukuzwa kazi, kushushwa cheo,  kuvuliwa madaraka, kupewa kalipio na adhabu nyinginezo.

Wajumbe wa baraza la madiwani wakiwa kwenye mafunzo ya Maadili kwa Viongozi wa Umma

Alifafanua kuhusu madhara ya  migongano ya kimaslahi kwa Viongozi, mwezeshaji wa mafunzo hayo ndugu Njenga Silvanus amesema ni kuvunja misingi ya Utawala Bora kwa kutumia madaraka kwa maslai binafsi badala ya maslahi ya Umma.

Aidha, wajumbe walipitishwa  namna ya ujazaji wa fomu ya kiapo ambapo kila  Kiongozi wa Umma anapaswa kuijaza kwa usahihi  kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya Mwaka Na. 13 ya mwaka 1995  kila kiongozi anapaswa kuwa amejaza  na kuwasilisha fomu hiyo kabla au ifikiapo tarehe 30 Disemba, 2021.

Aidha, Sekretarieti imesisitiza kiapo hicho kinapaswa kujazwa kwa umakini na kwa uhadilifu ili kuepuka taharuki  zinazoweza kutokea pindi kiapo kitakapokuwa kimejazwa tofauti.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa