• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BARAZA LA WATOTO WILAYA YA UBUNGO LAFANYIKA

Posted on: June 27th, 2024

Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya maendeleo ya jamii wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia na umuhimu wa watoto kutambua haki na wajibu wao katika baraza la watoto lililofanyika tarehe 27/6/2024 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Ubungo

lengo la baraza hilo ni kuwapa elimu watoto kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo ukatili wa kijinsia, usalama na ulinzi wa mtoto, umuhimu wa baraza hilo na ushirikishwaji wa watoto katika haki na wajibu wao

Akizungumza na watoto hao Mkuu wa Idara ya maendeleo ya jamii Manispaa ya Ubungo  Rose Mpeleta amewaeleza watoto hao umuhimu wa kuzingatia maadili na kuepukana na tabia zisizostahili na kuwasisitiza kuzingatia masomo yao na kuwaheshimu wazazi

Mpeleta ameendelea kwa kuwapa elimu namna ya kuwa viongozi bora  hasa katika jamii kwa kuwapa elimu na wenzao wanaokiuka maadili mema na kufanya kufanya vitendo viovu ikiwemo unyawaji wa pombe,kujihusisha na ngono zembe na makundi yasiyostahili wanapokuwa shuleni

Akitoa elimu kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia Mratibu Dawati la maendeleo na jinsia Manispaa ya Ubungo Hilda  Malosha amewataka watoto hao kuepukana na ndoa za utotoni na kuwaeleza umuhimu wa watoto hao kusoma na kuachana na tabia zisizostahili ambazo zitakwamisha masomo yao

Ni vizuri ukasoma kwa bidii kwa ajili ya kutimiza ndoto zako, jambo la muhimu ni kuzingatia maelekezo ya wazazi. aliwasisitiza Marosha

Nae, Mratibu wa Dawati la watoto Manispaa ya Ubungo Bupe Mwansasu amemshukuru mdau SOS Village aliyehusika katika maandalizi ya baraza hilo ambalo limesaidia watoto hao kuwajengea uelewa katika masuala mbalimbali.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa