• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BENKI YA CRDB YAKABIDHI MADARASA NA MADAWATI KATIKA MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: February 3rd, 2022







Manispaa ya Ubungo imepokea madarasa mawili  yaliyojengwa CRDB na madawati 125 katika shule ya Sekondari ya Mashujaa iliyopo kata ya Sinza katika Manispaa hiyo lengo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali katika  kupunguza changamoto ya upungufu wa madasara na madawati  kwenye shule.


Akikabidhi miundombinu hiyo Meneja mwandamizi  wa uwekezaji Kwa jamii kwenye benki hiyo ndugu  Joycelean Makule amesema kuwa  ujenzi huo wa madarasa na madawati umegharimu kiasi cha Tsh Milioni 50 lengo ikiwa ni kuisaidai serikali kupitia sera yao ya msaada kwa jamii.


Meneja mwandamizi wa uwekezaji kwa jamii CRDB Joycelean amesema Kwa niaba ya Benki ya CRDB wameahidi kushirikiana bega kwa bega na serikali katika kutatua changamoto mbalimbali kupitia sera yao ya msaada kwa jamii (Coorparate Social Investiment) hivyo wameamua kuboresha miundombinu ya elimu kwa ujenzi wa madarasa na madawati hayo.


Akiongea baada ya kupokea miundombinu hiyo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James ameipongezi Benki CRDB Kupitia sera yao ya msaada kwa jamii (Coorporate Social Investment) ambayo imekuwa ikisaidia kwa kiasi kikubwa katika kutatua changamoto mbalimbali zinazoikumba jamii katika maswala mbalimbali ya kijamii na kuwaomba kuendelea kushirikiana na serikali katika kutatua changamoto.


Aidha, James amewataka walimu na wanafunzi kuhakikisha wanayatumia na kuyatunza vizuri madawati na madarasa hayo ili yaweze kutumika kwa muda mrefu na kunufaisha watoto wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

 

Pia amesisitiza kuwa shule hizo ni Mali ya Umma hivyo ni wajibu wa Umma kupitia nguvu na nyenzo tulizonazo kusaidia shule za Umma kufanya vizuri kwa maana ya miundombinu na kuimarisha ufaulu. Na amewaomba wadau wengine wajitokeze kuhakikisha ufaulu na miundombinu inaimarika mashuleni.


“Lengo la serikali si kuwa tu na shule na madawati mazuri bali ni kuwa na shule nzuri, madawati mazuri yatakayochochea ukuaji wa taaluma na ufaulu kwa wanafunzi”. Alisema James.


James amempongeza aliyekuwa Mkuu wa Shule hiyo ambae amestaafu kwa sasa kwa kupambana kwake katika kuhakikisha shule hiyo inakuwa na miundombinu bora, ameipongeza bodi ya shule kwa juhudi zao, serikali imepanga kuanzisha A level shuleni hapo.





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa