• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BENKI YA DUNIA YAKAGUA MIRADI YA DMDP UBUNGO

Posted on: November 18th, 2025

Timu ya Wataalamu kutoka Benki ya Dunia inayosimamia utekelezaji wa Mradi wa Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP Phase Two) imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara zinazoendelea kujengwa katika Manispaa ya Ubungo kwa mikataba ya awamu ya kwanza na awamu ya Tatu.

Mradi huo wa barabara, ambao ulianza kutekelezwa mwezi Januari 2025, unahusisha ujenzi na upanuzi wa mtandao wa barabara zenye urefu wa zaidi ya kilomita 31.99 katika maeneo mbalimbali ndani ya Manispaa hii ya Ubungo. Katika ziara ya leo, jumla ya barabara 8 zilitembelewa, ikiwemo Barabara ya Msumi yenye urefu wa kilomita 9.83, pamoja na barabara za Posta Matembe, Sheikh Bofu, Msikitini, Sinza KKKT, Ubungo NHC, Segesera Pamoja na Barabara ya Juma Ikangaa.

Wataalamu hao walipongeza hatua zilizofikiwa hadi sasa. Pia wamesisitiza umuhimu wa kuendelea kusimamia ubora wa kazi na kuharakisha maeneo yanayoonekana kuchelewa ili kufikia malengo ya mradi kukamilika kwa wakati. Aidha, timu imetoa Ushauri kwa Waratibu wa mradi, Mhandisi Mshauri na Wakandarasi kuhakikisha mfumo wa kushughulikia malalamiko ya wananchi unafanya kazi ipasavyo.

“Tunahimiza ufuatiliaji wa karibu katika ngazi zote na kutatua changamoto wanazowasilisha wananchi kwa wakati, hususan zile zinazohusu usalama wa wafanyakazi na wakazi wanaoishi jirani na maeneo ya ujenzi,” alisema mmoja wa wataalamu kutoka Benki ya Dunia.

Ziara hiyo ilihusisha Waratibu wa Mradi, Mhandisi Mshauri, Wakandarasi pamoja na Timu ya Utekelezaji wa Mradi kutoka Ubungo.

Mradi wa DMDP unatarajiwa kuimarisha upatikanaji wa huduma za usafiri, kuongeza usalama barabarani na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika Manispaa ya Ubungo na maeneo jirani.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • BENKI YA DUNIA YAKAGUA MIRADI YA DMDP UBUNGO

    November 18, 2025
  • MABINTI WAASWA KUJIWEKEA MALENGO NA KUJITUMA ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

    November 15, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

    November 14, 2025
  • UBUNGO YAKABIDHIWA MICHE 200 YA MIANZI KUTOKA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO

    November 13, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa