• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BODI YA AFYA MANISPAA YA UBUNGO YAKUTANA

Posted on: July 20th, 2023

Bodi ya Afya Manispaa ya Ubungo imesisitiza upatikanaji wa huduma bora kwa Wananchi kuzingatiwa kwa kuhakikisha Bima za msamaha wa matibabu kwa Wazee na pia elimu ya ukataji wa Bima ya Afya iendelee kutolewa kwa jamii.

Hayo yameelezwa  Julai 20, 2023 wakati wa kupitia taarifa za utekelezaji wa shughuli za idara ya Afya, Lishe na Ustawi wa jamii  kwa robo ya tatu na ya nne ambapo wajumbe walipongeza mafanikio ya Idara kwa kuhakikisha wanatoa huduma nzuri kwa wananchi.

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa idara hiyo kwa robo ya tatu na ya nne kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo, Dkt. Catherine Saguti amesema kuwa idara imefanikiwa kuwahudumia  Wazee 98 kwa robo ya tatu walifikiwa kutoka katika Kata 14 na wamewapatia  vitambulisho vya msamaha wa matibabu na robo ya nne wazee 57 walifikiwa pia nakupewa vitambulisho hivyo.

Aliendelea kusema kuwa idara pia ilifanikiwa kupiga dawa ya kuzuia madharia ya mbu na kuua  mbu pevu ili kuepukana na ongezeko la ugonjwa wa malaria na pia kwa robo ya nne  ugawaji wa Vyandarua  1431 umefanyika  katika Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali za binafsi.

Pia  idara imefanikiwa kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, kuibua maambukizi mapya ya VVU kwa kuhakikisha upimaji unafanyika katika vitengo vyote muhimu hasa OPD na RCH

Wajumbe, walipongeza timu ya Mganga Mkuu kwa  utoaji wa Chanjo  inayosaidia kupunguza vifo vya Watoto chini ya miaka mitano

wajumbe wa bodi ya afya Manispaa ya Ubungo  wakiwa katika kikao cha tathimini ya utekeleza kwa idara ya afya kwa kipindi cha robo ya tatu na nne 


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa