• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BODI YA AFYA MANISPAA YA UBUNGO YAKUTANA KUJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ROBO YA TATU JANUARI-MARCHI

Posted on: July 2nd, 2024

Mapema tarehe 2 julai, 2024 wajumbe wa bodi ya Afya Manispaa ya Ubungo wamefanya kikao cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa kawaida wa Idara ya Afya, Ustawi wa jamii na lishe kwa kipindi cha robo ya tatu januari - Machi 2023/2024

Akizungumza katika kikao hicho Mwenyekiti wa bodi hiyo Israel sosteness amewapongeza watumishi wa Idara hiyo kwa kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi hasa katika kuhakikisha ujenzi  na usimamizi wa miradi ya vituo vya Afya unatekelezwa, utoaji wa elimu kwa umma kuhusu mambo mbalimbali ya afya na utoaji wa huduma za afya kwa uweledi

Israel amewataka wataalam kutoka Idara hiyo kuhakikisha wanaendelea kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi ili kuleta matokeo chanya katika Idara na taasisi

Akisoma taarifa ya Idara hiyo Kaimu Mganga Mkuu John Semkuya amesema kuwa Idara imefanikiwa kutoa elimu ya magonjwa yasiyoambukiza  kwenye vituo vya kutolewa huduma  na jumla ya watu 12,025 walipatiwa huduma na pia jumla ya watoto 139,540 sawa na asilimia 112.4%  wamepatiwa chanjo hiyo Surua Rubela.

Na katika masuala ya Ustawi wa jamii jumla ya wazee 115 kati yao KE 48, ME 67 wametambuliwa toka Kata 14 za Manispaa na kupatiwa vitambulisho vya msamaha wa matibabu

Jumla ya Kesi 27 za ukatili wa watoto katika madawati ya jinsia na migogoro 351 imeshughulikiwa ambapo 289 imesuluhishwa,migogoro 45 bado inaendelea kushughulikiwa, migogoro 9 imerudishwa ngazi ya jamii,migogoro 11 imepelekwa mahakamani,na maombi 4 yakupima DNA yameshugulikiwa

Na katika lishe  jumla ya Shule za Msingi na Sekondari 249 kati ya Shule za msingi na sekondari 257 walitoa chakula kwa wanafunzi sawa na 96.89%

Jumla ya wazazi /walezi 42,770 kati ya 42,770 walipatiwa elimu ya lishe sawa na asilimia 100%

Aidha, katika upande wa Afya na Mazingira elimu kwa jamii kuhusu masuala ya Afya imetolewa kuzingatia usafi wa vyoo,binafsi ,maji na uhifadhi salama wa vyakula kupitia watoa huduma ngazi ya jamii katika maeneo ya mikusanyiko hasa katika  masoko yote 13, vituo vya mabasi 7,mashuleni na Kaya 142,021 zilizo kwenye Mazingira hatarishi

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa