• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

Posted on: May 29th, 2025

Mapema tarehe 29/5/2025 Kikao Cha Bodi ya afya Manispaa ya Ubungo kimefanyika na kujadili taarifa ya robo ya tatu kwa kipindi cha mwaka wa Fedha 2024/2025  ambapo wajumbe hao wameweza kupitia utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Idara ya afya, lishe na ustawi wa jamii Manispaa ya Ubungo na kutoa maagizo mbalimbali na kupongeza utoaji mzuri wa huduma za afya unaofanywa na watumishi wa idara hiyo katika vituo.

Katika kikao hicho Wajumbe wa bodi  wamesisitiza katika suala la chakula mashuleni  kuendelea kusimamiwa vyema na kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula wanapokuwa mashuleni na kupongeza kwa hatua nzuri ya zoezi hilo linavyoendelea ambapo mpaka sasa ni sawa na 97.75 % katika Shule 308 za Sekondari na msingi zilizopo katika Wilaya ya Ubungo wanapata huduma ya chakula.

Na pia wajumbe wamepongeza utolewaji mzuri wa elimu kwa mama wajawazito katika kutatua changamoto ya vifo ya vya mama wajawazito kwa kuwapa madini chuma ambapo jumla ya wakina mama 39,931 kati ya ya 40,136 walihudhuria kliniki na walipatiwa vidonge hivyo  ambapo ni sawa na 99.49% kwa robo ya tatu

Vilevile, Wajumbe waliendelea kuwapongeza wataalam kwa kuendelea kutatua changamoto mbalimbali katika Idara hiyo ikiwemo utoaji wa vitambulisho vya msamaha wa matibabu kwa wazee, migogoro ya ndoa , usuluhishi wa kesi za watoto kwenye madawati ya jinsia , kushughulikia mashauri 195 ya matunzo ya watoto  ambapo migogoro 93 imetatuliwa na migogoro 95 inaendelea kushughulikiwa

Na katika upande wa vifo vya mama na mtoto wajumbe wamewataka wataalam wa afya kuhakikisha wanakabiliana na changamoto hiyo kwa kuongeza elimu kwa wajawazito kuhudhuria klinii na wanapoona dalili za kutaka kujifungua kufika vituoni mapema waweze kupata huduma 

Aidha, Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt. Alistides Raphael ameshukuru wajumbe wa bodi kwa pongezi walizotoa katika nyanja mbalimbali na kupokea  ushauri na maagizo waliyoyatoa na kuahidi changamoto zilizoonekana zinaenda kufanyiwa kazi kwa haraka





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa