• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mipango miji na Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Utumishi na Utawala
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Maji na Usafishaji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
        • Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BODI YA AFYA YAPITIA TAARIFA YA UTENDAJI ROBO YA PILI

Posted on: March 24th, 2023

Mapema Leo tarehe 24/2/2023 bodi ya Afya manispaa ya Ubungo imeweza kupitia na kujadili taarifa ya utendaji kazi kwa idara ya afya kwa robo ya pili na kuipongeza kwa utoaji mzuri wa huduma za afya katika vituo  sambamba na kuwataka changamoto zilizowasilishwa na kamati ziweze kutafutiwa Suluhu

akisoma taarifa ya utekelezaji kwa robo ya pili Dk. Catherine Saguki amesema kuwa idara ya afya katika utoaji wa chanjo ya polio kwa awamu ya nne watoto 283,357 sawa na 135% walichanjwa.

Aliendelea kwa kusema kuwa, Jumla ya wakina mama 4779 walijifungua na hakukua na kifo cha mzazi kilichotokea, mashauri 86 ya ndoa yameshughulikiwa, 65 yamesuluhishwa na 14 yanaendelea kushughilikiwa

Na pia huduma ngazi ya jamii elimu imeweza kutolewa kuhusu chanjo, elimu ya kujikinga na magonjwa, uchunguzi wa awali wa magonjwa, na magonjwa mbalimbali

Idara pia imeweza kufanya uhamasishaji na kufanikiwa kukusanya damu salama chupa 755 sawa na 80.9%  ambalo ni lengo kwa robo hiyo.

Aidha, Wajumbe walipendekeza bodi iweze kutembelea miradi mara kwa mara ili iweze kujua hali za miradi ilivyo

Halikadhalika, Wajumbe  waliagiza watoa huduma katika vituo wafate  maadili ya kazi kwa kuhakikisha wanatoa huduma kwa wananchi kwa uadilifu

Taarifa

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • JOINING INSTRUCTIONS KWA SHULE ZA SEKONDARI ZA UBUNGO MANISPAA 2023. December 28, 2022
  • SELECTION ZA KIDATO CHA KWANZA UBUNGO MANISPAA 2023 December 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 02, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UBUNGO YAFANYA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KIWILAYA

    March 08, 2023
  • ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YAFANYIKA , DC KOMBA ATOA MAELEKEZO

    March 01, 2023
  • UBUNGO YATIA FORA KAMPENI YA SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM, RC MAKALLA AIPONGEZA

    February 25, 2023
  • BODI YA AFYA YAPITIA TAARIFA YA UTENDAJI ROBO YA PILI

    March 24, 2023
  • Tazama zote

Video

FAHAMU ALICHOKISEMA DC KOMBA KWENYE ZIARA LEO | AIAGIZA TAKUKURU KUFANYA UCHUNGUZI
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa