• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

CHUKI NI UGONJWA HATARI UNAOWEZA KUSABABISHA KIFO KWA HARAKA

Posted on: November 20th, 2025

Mtaalamu wa afya bora ya akili na maendeleo ya binadamu, Dkt. Mayrose Kavura Majinge amesema chuki ni ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo kwa binadamu na kwamba ili mwanadamu awe na ustawi kamili ni lazima awe na afya bora ya akili akisema kuwa kila mtu anapaswa kuzingatia faida na hasara kabla ya kufanya uamuzi juu ya jambo lolote.

Akizungumza na watumishi mbalimbali wa Mnispaa ya Ubungo  Novemba 20, 2025, Dkt. Mayrose amesema uwezo wa mtu kuchanganua mambo kabla ya kutenda ndio unaoonesha uimara wake katika afya bora ya akili.

Amesema tabia ya kuchukiachukia haraka, kufanya maamuzi kwa haraka na hasira au kusubiri dakika za mwisho wakati mwingine husababisha madhara yasiyokuwa ya lazima, hivyo ni vyema kujenga utamaduni wa kutafakari kabla ya kuchukua hatua kwaajili ya ustawi wa maisha ya mtu.

Aidha, amesema mtu anaweza kuwa na afya ya akili lakini isiwe bora, jambo ambalo linaathiri ustawi wake wa kila siku.

“Kila mtu anakutana na changamoto zinazohusiana na afya ya akili, na changamoto hizo ni sehemu ya maisha kwa kuwa kila binadamu hukabiliana na hali mbalimbali zinazoweza kuvuruga utulivu wa akili” -alisema Dkt. Majinge.

Dkt. Majinge amefafanua kuwa afya bora ya akili ni uwezo wa mtu kukidhi mahitaji yake ya kimaisha na kimwili, na pale ambapo mtu anashindwa kutimiza mahitaji hayo ni dalili kuwa akili yake inakabiliwa na changamoto.

Amesisitiza kuwa kama ilivyo muhimu kwa mwanadamu kuwa na afya bora ya mwili, ndivyo ilivyo muhimu pia kuwa na afya bora ya akili na kwamba afya bora ya akili ni hitaji la kila mtu.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA LISHE KITAIFA KWA ELIMU NA HUDUMA ZA LISHE KWA JAMII

    November 21, 2025
  • CHUKI NI UGONJWA HATARI UNAOWEZA KUSABABISHA KIFO KWA HARAKA

    November 20, 2025
  • BENKI YA DUNIA YAKAGUA MIRADI YA DMDP UBUNGO

    November 18, 2025
  • MABINTI WAASWA KUJIWEKEA MALENGO NA KUJITUMA ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

    November 15, 2025
  • Tazama zote

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa