• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DARAJA LA MSUMI KUJENGWA KUPITIA MRADI WA DMDP

Posted on: January 31st, 2024

Kufuatia agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha miundombinu yote iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha inarekebishwa na kuwa kwenye hali yake hususani miundombinu ya barabara.

Leo tarehe 31/01/2024 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amefanya ziara ya kutembelea Kata ya Mbezi Mtaa wa Msumi eneo la kivuko cha waenda kwa miguu na vyombo vya moto kilichoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha na kupelekea kupoteza mawasiliano baina ya wakazi wa Wilaya ya Ubungo na Kinondoni.

Akiongea wakati wa ukaguzi huo Mhe. Komba amewaagiza watendaji Kata wa Wilaya hiyo ambao mito imepita kwenye maeneo yao kuhakikisha wananchi wa maeneo yao wanapata elimu juu ya madhara yanayotokea kutokana na uchimbaji holela wa mchanga sambamba na kufanya mikutano ya wananchi pindi wachimbaji wa mchanga wanaofuata utaratibu watakapojitokeza, pia amewataka wananchi kutoa taarifa pale ambao watabaini uchimbaji holela wa mchanga.

Aidha, Mhe Komba ameeleza kuwa kutokana na uharibifu wa kivuko hicho TARURA itajenga kivuko kingine cha waenda kwa miguu pekee kitakachotumika kwa muda huku njia mbadala ya kupita vyombo vya moto itakayounganisha wakazi wakazi wa maeneo hayo ikifanyiwa marekebisho na kuanza kutumika.

Akifafanua sababu ya kujenga kivuko cha muda cha waenda kwa miguu pekee Mhe. Komba ameeleza kuwa Serikali kupitia mradi wa ‘Dar es salaam Metropolitan Development Projects’ DMDP inampango wa kujenga barabara kiwango cha lami zaidi ya Kilomita 52 na miongoni mwa barabara hizo ni barabara ya Msumi ambayo itajengwa kuanzia Njia panda ya Makabe hadi Tegeta.

Mhe. Komba ameeleza kuwa ujenzi wa barabara hiyo upo mbioni kuanza na utajumuisha ujenzi wa kivuko hicho hivyo amewataka wananchi kuendelea kuwa wavumilivu kwa kipindi chote watakachokuwa wakitumia kivuko cha muda na njia mbadala.

“Mradi huo kwa awamu ya pili utaenda kujenga kingo za mito, kuboresha miundombinu ya kiuchumi ikiwemo masoko sambamba na uboreshaji wa baadhi ya miundombinu hakika pongezi nyingi zimuendee Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea mradi huu muhimu” aliongeza Mhe. Komba

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa