• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KHERI AWATAKA WATENDAJI NA WENYEVITI WA MITAA KUZINGATIA MAADILI

Posted on: July 26th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amewataka Watendaji wa Kata, Mitaa na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wa Wilaya hiyo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Maadili, Kanuni, Taratibu na Sheria za Utumishi wa Umma katika kusimamia  shughuli mbalimbali za maendeleo katika maeneo yao.

DC Kheri, amewaeleza hayo kwenye kikao kazi kilichofanyika leo Julai 26, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa hiyo na kueleza kuwa wao kama viongozi wa wajibu wa kusimamia shughuli zote zinazofanyika kwenye maeneo yao Kwa uadilifu na uwajibikaji mkubwa ili kurahisisha utoaji wa huduma  kwa wananchi hususani ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa miradi ya maendeleo

Shikamaneni kwa kujenga mahusiano mazuri ninyi kwa ninyi na ninyi na  wananchi wenu huku mkijiamini na kudhubutu katika utendaji kazi wenu hususani katika kufanya maamuzi kwa lengo la kutekeleza shughuli za Serikali.

"Serikali imewaamini  ndio maana imewapa nafasi  hizo  kuchukueni hatua bila kumwonea mtu ilimradi mnafuata sheria, kanuni na taratibu za Serikali katika kutekeleza kazi za Serikali, Mimi nawaahidi ushirikiano" alisema DC Kheri

Aidha, DC Kheri amewasisitiza watumishi na Viongozi hao kuwa waadilifu hasa kwenye ukusanyaji wa fedha za Serikali kupitia *PoS machine* kwani kumekuwa na changamoto kubwa kwenye eneo hilo.

Upangaji wa malengo yanayoshirikisha wananchi ni kati ya mambo ambayo DC Kheri ameyasisitiza kwa Watendaji  na Viongozi hao ikiwa ni njia nzuri ya kujua mambo ya Kutekelezwa Kwa mwaka husika badala ya kufanya kazi Kwa mazoea.

Pamoja na majukumu mengine tambueni tuna janga la ugonjwa wa COVID 19 , fuateni mwongozo wa Serikali wa namna ya kujikinga kwa kunawa mikono Kwa maji tiririka, kuvaa barakoa na kuepuka misongamano isiyo ya lazima kwani ugonjwa upo.

Akiongea kwa niaba ya watumishi hao, Afisa Utumishi  na Utawala wa Manispaa hiyo ndugu Selemani Kateti amemshukuru Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya kwa maelekezo mazuri na kuahidi kusimamia utekelezaji wake kwa manufaa ya Manispaa na wananchi wake.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa