• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC AZINDUA BODI YA AFYA YA MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: March 16th, 2022



Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James leo Machi 16, 2022  amezindua BODI  Mpya ya afya ya wilaya hiyo, na kuitaka bodi hiyo kufanya kazi kwa ufanisi kwa  kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa ubora  kwa wananchi.


Akizindua bodi hiyo yenye wajumbe 11, James amewapongeza  wajumbe hao kwa kuchaguliwa kusimamia sekta nyeti ya afya ambayo inagusa wananchi na kuwaeleza kuwa kazi kubwa ya bodi hiyo ni kuwakilisha jamii kwa kupokea changamoto zao na kuzitafutia ufumbuzi kwa kushirikiana na uongozi wa Halmashauri.


"Uwepo wenu ni uwakilisha wa umma, toeni ushauri kwa serikali na kuchagiza mabadiliko ya sera ili kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi ambao wamewachagua ili muwe daraja kati ya serikali na wao kwa kupokea changamoto na kuzifanyia kazi" alieleza James 


James amesistiza kuwa Bodi ni sauti ya watu wa kawaida hivyo ikasimamie utoaji wa huduma bora kwa uaminifu sambamba na  kutatua changamoto katika vituo vya kulolea huduma za afya kwa wakati kabla hazijafika ngazi za juu.


"Mstumie  bodi hii kama jukwaa la siasa, fanyeni kazi kwa mujibu wa mwongozo, uadilifu na uwajibikaji wa hali ya juu ili kufikia malengo ya serikali ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora wakati wote.


Akiongea na wajumbe hao, Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo, Dkt Peter Nsanya ameeleza kuwa, Manispaa ya Ubungo ina jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 162 ambapo kati ya hivyo 22 ni vya Serikali


Aidha, Nsanya ameyataja majukumu mengine ya Bodi kuwa ni kupanga na kupitisha mpango ya bajeti pamoja na kukagua miradi ya maendeleo, kuhakikisha vituo vya afya, hospital, na zahanati vinatekeleza shughuli za Afya, kuhakikisha uwepo wa upatikanaji wa dawa na vifaa. 


Uundaji wa Bodi ya Afya upo chini ya Sheria ya Serikali ya Mitaa (Mamlaka ya Wilaya), Sura na 287, Mamlaka ya Miji sura na 288, pamoja na mwongozo wa uundaji na uendeshaji wa Bodi za Afya za Halmashauri na kamati zake wa go mitatu chini ya mwenyekiti wake Ndg Allan Semporo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa