• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC ILALA KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA

Posted on: June 5th, 2021

Aliyosema Mhe. Ng’wilabuzu Ndwata Ludigija  Mkuu wa Wilaya ya Ilala akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Amos Makalla kwenye Maadhimisho ya Mazingira  duniani mikoani humo.

•Ikiwa leo ni siku ya Mazingira duniani jiji la Dar Es salaam linaungana na Taifa na dunia Kwa ujumla kuadhimisha siku hii Kwa kauli mbiu isemayo Tumia nishati mbadala kuongoa mfumo wa ikolojia.

•Kutumia nishati mbadala ikiwemo gesi, Umeme na majiko banifu yanayobuniwa na wataalamu mbalimbali ili kuepuka matumizi ya mkaa ambapo Kwa siku moja jumla ya magunia 300,000 hutumika.

•Kupanda miti kwa wingi ili kupendezesha na kutunza mazingira yetu.Niwapongeze TFS kwa jitihada za Kupanda miti kwa wingi.

•Dar ina viwanda, hivyo naagiza wataalamu waendelee kufuatilia viwanda Vinavyotiririsha maji machafu yanayoharimu viumbe vya majini, Wito natoa sheria zitumike kwa wanaojihusisha na utiririshaji wa maji machafu kwenye Makazi ya watu pamoja na kwenye Mito


•Bado uzalishaji, usambazaji na utumishi wa  mifuko ya plastic  bado upo,  natoa wito kwa wana Dar Es salaam kutumia vifungashio vilivyokubalika, Watendaji simamieni  Watendaji  ipasavyo marufuku ya mifuko ya llastiki

•Katika Mkoa tuna mabonde mengi ikiwemo  mto  msimbazi wananchi wamekuwa wakitupa taka zinazoathiri viumbe hili nalo sisimamiwe

°Uchimbaji wa mchanga ulenge kusafisha mito na sio vinginevyo wataalamu  simamieni ili kutopanua mito inayosababisha madhara kwa wananchi . Uchimbaji uwe kwenye mito iliyochaguliwa

•Mkoa  unazalisha takribani tani 450,000 za taka,  Niwaagize wakurugenzi kutumia magari ya taka waliogawiwa yanafanye kazi ya kuzoa taka ili Manispaa zetu ziwe Safi

•Usafi unaanzia ngazi za familia kwa kufanya usafi kila mwisho wa mwezi, wafanyabiashara wafanye usafi maeneo yao ya biashara. Serikali itachukua hatua Kwa watu wanaochafua mazingira

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa