• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KHERI AKABIDHIWA OFISI RASMI

Posted on: June 28th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James amekabidhiwa ofisi  rasmi na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Ubungo  Kisare Makori leo tarehe 28 juni, 2021 katika ukumbi wa mikutano uliopo katika  ofisi ya Mkuu wa Wilaya Luguruni

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Dc Kheri aliahidi   kutekeleza  yale uliyoaachwa na kuhakikisha mahusiano mazuri Kati ya chama na Serikali na pia ulinzi na usalama wa Wilaya yetu ya Ubungo unaendelea kuimarika

"Nikupongeze nimekuta wilaya iko shwali pia  mahusiano mazuri na wadau mbalimbali yako safi na niahidi ntaendeleza Yale yote ambayo ulikuwa umeyafanya kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama, Mkurugenzi ,wakuu wa idara na watalaam" Aliongeza Kheri

Akizungumza baada ya kukabidhiwa ofisi hiyo Kheri amesema kuwa  anamshukuru rais  wa jamuhuli ya muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan kwa kututeuwa na nikutakie kazi njema unapokuwa Tabora ( Uyui)

Aidha Kisare alimkabidhi Kheri  kitabu cha taarifa na kumshukuru rais wa jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa uteuzi na kuahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Dc Ubungo

Nae Beatrice Dominic Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo amemshukuru Kisare kwa miongozo na malezi bora alipo kuwa Ubungo na kumtakia utekelezaji mwema anapokwenda Tabora(Uyui)

Alikadhalika, Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Jaffari  Nyaigesha amemshukuru DC Uyui kwa ushirikiano mzuri alipokuwa Ubungo na kwa utekelezaji mzuri wa maendeleo ya Wilaya ya Ubungo

Naomba nikukaribishe sana Dc Kheri tuna ahidi kuonyesha ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yako

Ikumbukwe kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa