• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KHERI AKAGUA BARABARA ZA TARURA UBUNGO

Posted on: June 23rd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James akiwa ameambatana na timu ya wataalamu wa Manispaa na TARURA , leo Juni 23, 2022 amekagua miradi sita ya barabara zinazojengwa na Wakala wa Barabara za mjini na  Vijijini (TARURA) yenye thamani ya shilingi bilioni tatu lengo ikiwa ni kujiridhisha na hatua ya utekelezaji wake ili barabara hizo zianze kutumika

Katika ziara hiyo  miradi iliyotembelewa ni pamoja na  barabara ya kawawa yenye  urefu wa KM 2 inayojengwa kwa kiwango cha lami (Gogoni - Kiluvya), daraja la Msigani, daraja la Mwakajila, daraja la Kimara B kwa Rama, barabara ya Suca - Golani, Millenia tatu pamoja na Barabara ya Midizini

Katika ukaguzi huo, Mhe. Kheri ameridhishwa na utekelezaji wa  miradi hiyo na amewaagiza TARURA kukamilisha miradi yote hiyo kwa wakati  kwa mujibu wa mikataba  ili wananchi waanze kutumia kwani barabara  inarahisisha na kuharakisha  huduma  na maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.

Sambamba na hilo, Mhe. Kheri amewaeleza  Wananchi wanaoishi pembezoni mwa barabara inayotoka Suca-Golani  ambao wamepitiwa na barabara hiyo wameombwa kuachia maeneo yao kwa hiyari bila fidia ili kuharakisha kuanza kwa zoezi la ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ambapo ujenzi huo utagahrimu shilingi bilioni 16.

"Mradi huu utakua na faida kubwa sana kwa Wananchi wote wanaotumia barabara hii hasa kipindi cha mvua ambapo mawasiliano huwa yanakatika. Hivyo basi niwaombe wananchi wote ambao maeneo yao yameguswa japo kidogo kuyachia ili mradi huu utekelezwe kwa haraka na viwango" alisema

Wakati Serikali inawajibika kujenga miundombinu ya barabara, Mhe. DC amewataka wananchi kulinda miundombinu ili idumu

Aidha, Mhe. Kheri amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa ndani ya wikaya ya Ubungo na pia amewaomba wananchi wa Wilaya ya Ubungo kuendelea kutoa ushirikiano wa dhati kwa Serikali yao hasa kwenye utekelezaji wa miradi hiyo ya maendeleo.

#UbungoYetuFahariYetu

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa