• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KHERI ATATUA MGOGORO WA BWANA MTAA WA TEMBONI

Posted on: July 27th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri  James ametatua mgogoro wa ardhi eneo la Bwawa Mtaa wa Temboni  kwa kusitisha ujenzi  unaofanyika katika eneo hilo na anayesadikika kuwa mmliki wa eneo hilo na kusema eneo hilo litakuwa mali ya Umma kwa sasa.

Mhe. Kheri amefikia uamuzi huo baada ya wananchi wa mtaa huo kutoa malalamiko kuwa wanapata shida ya nyumba zao kujaa maji kipindi cha mvua kutokana na mwekezaji huyo kuweka kifusi sehemu ya njia ya maji pamoja na kujenga kalvati dogo ambalo halipitishi maji vizuri.

Maamuzi hayo  ameyatoa Julai 27, 2021 kwenye kikao kilichohusisha wananchi wa eneo hilo pamoja na viongozi wa serikali  ngazi ya Mtaa, Kata na Halmashauri, ambapo Mhe. Kheri amesema, kutokana na sheria ya ardhi eneo la Bwawa  halimilikiwi na mtu binafsi kwa sababu haliwezi kufanyia maendelezo yoyote, hivyo ni mali ya Umma.

Aidha,Mhe.kheri ameagiza kuwa kifusi kilichowekwa kwenye eneo hilo kinacho sababisha hofu ya kutuamisha maji kipindi cha mvua  nakuathiri wananchi kitolewe haraka ili wananchi wasipate madhara wanayiyapata sasa ikiwemo vyoo kujaa haraka.

"Nategemea baada ya maamuzi haya Mtaa wa Temboni utakuwa tulivu na kazi ya serikali ni kuhakikisha kero za wananchi zinatatuliwa"alieleza Mhe.Kheri.

Pia , Mhe. Kheri ameamuru kifusi kinachoonekana kuleta hofu kwa watu kiondolewe ili maji yaendelee kupita.

Wakazi wa mtaa wa temboni wameridhika na maamuzi ya utatuzi wa mgogoro huo nawapo tayari  kushirikiana na wataalamu katika  utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa katika mgogoro huo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa