• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KOMBA AFANYA KIKAO NA WAKANDARASI WA TAKA, ASISITIZA UWAJIBIKAJI WA WATUMISHI WA UMMA

Posted on: November 29th, 2023

Katika kuendelea kuimarisha mikakati ya kuboresha hali ya usafi wa mazingira katika mitaa yote 90 ya Manispaa ya Ubungo, Novemba 29, 2023 mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amefanya kikao maalumu na wakandarasi wa taka kutoka katika mitaa yote

Lengo kuu la kikao hicho ni lilikua kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakandarasi hao na kutengeneza mkakati wa pamoja wa kuzitatua changamoto hizo ili kuongeza kasi ya usafi

Akiongea katika kikao hicho DC Komba amesema "kwetu Ubungo Usafi ni ajenda ya kudumu ya kila siku, popote zinapokuepo taka ni lazima ziondolewe haraka ili kuwaepusha wananchi na uchafu wa mazingira pamoja na uwezekano wa mlipuko wa magonjwa" alisema Komba

Wakichangia katika kikao hicho wakandarasi wameonesha kukwamishwa na mfumo wa tausi katika ufanyikaji wa malipo, wengi wakilalamika kutolipwa malipo yao toka mwezi Septemba, malalamiko ambayo mweka hazina wa Manispaa hiyo ndugu Mohabe ametoa ufafanuzi kuwa fedha hizo tayari zilisharudishwa katika ngazi ya kata tayari kwaajili ya malipo

Aidha kwa upande mwingine DC Komba ameagiza ndani ya siku mbili kuanzia kesho idara ya utumishi kwa kushirikiana na idara ya fedha kufanya uchambuzi wa taarifa za malipo ya wakandarasi hao kwa mitaa yote ili kufahamu aina za changamoto na namna ya kuzisuluhisha

Nae mstahiki.Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffery Nyaigesha ameonesha kuguswa na changamoto za wakandarasi hao na amesisitiza maafisa ugani kwenye ngazi za mitaa na kata hasa maafisa afya kufuatilia kwa kina taratibu zote za usafi na kusaidia kutatua changamoto zote zinazojitokeza


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa