• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KOMBA AHAMASISHA UBALOZI WA USAFI KWENYE KAU- SAPEU GOBA

Posted on: November 25th, 2023

Usafi ni Ustaarabu, usafi ni uungwana, usafi ni utu, usafi ni kinga, usafi ni Heshima, hivyo basi nichukua fursa hii kuhamasisha wananchi wenzangu wa Goba na wilaya ya Ubungo kwa ujumla kuwa ni vema falsafa hii ya usafi wa mazingira ikatuingia sote akilini na kuitekeleza kwa vitendo" hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba alipokua anaongea na wananchi waliojitokeza katika jumamosi ya usafi wa mwisho wa mwezi katika eneo la Goba center kata ya Goba  Novemba 25, 2023

Komba amesisitiza wananchi kuwa na utamaduni wa kuhakikisha maeneo yao kwa kila mmoja yanakuwa masafi wakati wote ili kuweka mazingira kuwa nadhifu yenye kupendeza na kuondokana na kunyemelewa na magonjwa ya mlipuko yanayosababisha kuzorota kwa afya zetu na kuathiri uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla

Awali akitoa salamu katibu tawala wilaya ya Ubungo Ndg, Hassan Mkwawa amewapongeza wananchi wa kata ya Goba kwa kujitokeza kwa wingi katika kampeni hiyo na amewaomba kuendeleza utamaduni huo kila siku katika maeneo yao

Kampeni hiyo ya usafi wa mazingira ni mfululizo wa kampeni mama ya Kataa Uchafu, Safisha Pendezesha Ubungo KAU - SAPEU ambayo imejielekeza zaidi kwenye kushindanisha mitaa yote 90 kwa usafi ambapo hivi karibuni utafanyika mkutano wa kwanza wa tahmini baada ya miezi mitatu ya kwanza na mshindi wa kwanza atapatiwa shilingi 600,000, mshindi wa pili shilingi 400,000 na mshindi wa tatu shilingi 300,000

Ikumbukwe tathmini kubwa zaidi ya kampeni hiyo itafanyika baada ya miezi 6 ambapo mtaa utakaoibuka na ushindi utapatiwa pikipiki mbili ambapo moja itakua mali ya mwenyekiti  na nyingine mali ya ofisi ya mtaa huo. Huku mtaa utakaokuwa mchafu zaidi utakabidhiwa bendera ya balozi wa uchafu Ubungo

Nae katibu wa chama cha mapinduzi wilaya ya Ubungo Ndg, Mwenge Msunga amempongeza DC Komba kwa ubunifu mkubwa wa kampeni hiyo na wao kama chama tawala wapo tayari kumpa ushirikiano wa dhati wakati wote


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa