• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KOMBA AKUTANA NA WAKUU WA SHULE, WALIMU WAKUU NA WADHIBITI UBORA KUJADILI HALI YA ELIMU UBUNGO

Posted on: March 20th, 2023



Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba ameagiza kuanza kufanyika maandalizi ya kongamano kubwa la wadau wa Elimu wilaya ya Ubungo muda mfupi kutokea sasa.


Hayo yamesemwa leo Machi 20, 2023 katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo wakati akiongea na wakuu wa shule za sekondari, walimu wakuu wa shule za msingi, waratibu elimu pamoja na wadhibiti ubora katika kikao ambacho kililenga kufanya tathmini ya hali ya elimu kwa Wilaya ya Ubungo


Lengo la kongamano hilo kubwa ni kuweka mikakati ya kuchochea kiwango cha elimu kwa shule za msingi na sekondari pamoja na kutafuta majawabu ya changamoto za miundombinu ya elimu kama vile viti, meza, vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo


"Hatma ya taifa lolote duniani inaegemea elimu. Walimu mna uwezo kubadilisha kiwango cha elimu kwa wilaya yetu endapo tu mtatimiza wajibu wenu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea" alisema Komba


Awali akiwasilisha taarifa ya ufaulu kwa shule za sekondari, Afisa elimu wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Voster Mgina amesema kiwango cha ufaulu kwa shule za sekondari Manispaa ya Ubungo umeendelea kukua pamoja na uwepo wa changamoto kadhaa ikiwemo ya upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi (Hisabati na Fizikia)


Aidha kwa upande wa shule za msingi Afisa elimu msingi Ndugu Nyoni amesema kuwa kiwango cha ufaulu kwa shule za msingi kwa mwaka 2022 umepanda kwa asilimia 0.62 na kufikia kiwango cha ufaulu cha asilimia 96.74


Vile vile Mhe. Komba ametumia kikao hicho kuendelea kuweka zuio la kufanya michango katika shule za msingi na sekondari bila kufata utaratibu. Vibali vyote vya michango kwenye shule ni lazima vipitishwe na Mkuu wa Wilaya mwenyewe.


Vibali ambavyo vitaruhusiwa ni vile tu vilivyokidhi vigezo ikiwemo sharti la mchango wowote lazima uibuliwe na wazazi husika, kitu kinachoombewa mchango ni lazima kiwe na mahesabu halisia pamoja na kuwa na ukomo wa mchango.


Kibali pekee ambacho Mhe. Komba amekiruhusu ni mchango wa chakula pekee.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa