• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KOMBA ATATUA MGOGORO WA SINZA B

Posted on: October 29th, 2023

Kufuatia malalamiko ya  wananchi wa Mtaa wa Sinza B katika Kata Sinza unaodaiwa kuvamiwa kwa eneo la wazi lilipo mtaa huo maarufu kwa Sigara, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba  amewaondoa wasiwasi wananchi hao kwa kueleza kuwa baada ya kujiridhisha eneo hilo limepangishwa kwa Chama Cha Mapinduzi kama ambavyo maeneo ya wazi yanapangishwa na wanalipa kodi  na sio wamemilikishwa kama ilivyokuwa inalalamikiwa na wananchi hao.

Mhe. Komba ametoa majibu hayo kwenye mkutano wa wananchi uliofanyika katika eneo hilo la wazi oktoba 29,2023 na kusema kuwa kwa mujibu wa mkataba wa upangishaji, mpangishwaji akijenga miundombinu yoyote awe tayari kubomoa kwa gharama zake pale Halmashauri itakapohitaji kuchukua eneo lake "hivyo hoja ya kusema eneo la wazi limevamiwa sio kweli bali limepangishwa"

Kuhusu hoja ya mtaa kuwa na eneo la kufanya shughuli za kijamii ikiwemo michezo Mhe. Komba ameelekeza kuwa shughuli za uuzaji magari katika eneo hilo isitishwe haraka na sehemu ya ofisi ya zamani iliyokuwa inatumiwa na mpangishwaji huyo ibomolewe baada ya kukamilika kwa ofisi mpya ili wanachi wapate nafasi ya kutumia eneo hilo kwa shughuli za kijamii ikiwemo michezo.

 "Niwapongeze wananchi kwa  kutaka kujua mjenzi wa eneo hili, hiyo inaonesha mnatambua wajibu wenu  wa kulinda mali za umma" aliopongeza Mhe.Komba 

Mhe .Komba aliendelea kusema kuwa , kutokana na  uvamizi wa maeneo mengi  ya wazi na vizimba vya maji katika wilaya ya Ubungo, baraza la madiwani  ilililazimika kuunda kamati maalumu ya kuchunguza maeneo hayo na kubainisha kuwa jumla ya maeneo ya wazi na vizimba 2061 vimevamiwa  na kwa sinza B jumla ya maeneo ya wazi 61 yamevamiwa na watu wanafanya shughuli mbalimbali wakiwemo waliojenga nyumba za kuishi.

Baada ya kukagua baraza likaamua kutambua maeneo na kuwatambua wanaotumia maeneo na kuwapangisha na kulipa kodi kwa Halmashauri na sio kumilikishwa.

Kwa mujibu wa ripoti ya kamati ya kutambua maeneo ya wazi  Hapa tulipo eneo hili la sinza B linatambuliwa kuwa mpangishwaji ni Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya mika 20.















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa