• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KOMBA AZINDUA KAMPENI YA "KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDEZESHA UBUNGO"

Posted on: August 26th, 2023

Rasmi kampeni ya "Kataa Uchafu, Safisha, Pendezesha Ubungo" KAU -SAPEU" imezinduliwa Manispaa  ya Ubungo kwa lengo la kuweka mazingira safi na salama.

Akizindua kampeni hiyo  tarehe 26  agosti, 2023 iliyofanyika katika Kata ya Manzese Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amesisitiza uondoaji wa taka katika maeneo yote kwa kuzingatia ulipaji wa pesa za taka ili magari yanayokusanya taka yaweze kuchukuwa taka kwa wakati na kila Mtaa kuzingatia usafi wa maeneo yao.

"Niwapongeze Kata ya Manzese kwa kuipokea vyema kampeni hii maeneo mengi tayari yamesafishwa". Alisema hayo Komba

Aliendelea kwa kusema kuwa taka ngumu nyingi zinazalishwa kwa wingi na haziondolewi kwa wakati sambamba na utiririshaji wa maji taka.

"Tusiruhusu magonjwa ya mlipuko yatokee, tukatae uchafu" 

Aliendelea kwa kusema kuwa, Katika kampeni hii kutakuwa na zawadi zitakazo tolewa kwa mwaka ambapo Pikipiki mbili zitatolewa, Pikipiki moja  kwa Mtaa utakaofanya vizuri na ya pili  mwenyekiti wa Mtaa.

Na kila baada ya miezi mitatu zawadi zitatolewa kwa mtaa utakaofanya vizuri wa kwanza shilingi 600,000/= wa pili 300,000/= na watatu 200,000/=


Na Kwa Mtaa ambao utafanya vibaya utapewa Bendera ambayo itasomeka "Balozi wa Uchafu Ubungo"


Nae, Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo  Jaffery Nyaigesha amepongeza kuanzishwa kwa  kampeni hiyo na kusisitiza ni lazima tupambane kukataa uchafu na sheria ya hakuna kutupa hovyo taka lazima ifuatwe.


"sheria hii lazima izingatiwe na ifatwe"  amesisitiza Mstahiki Meya.














Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MSANDO AWATAKA WENYEVITI KUWASILISHA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI

    October 04, 2025
  • SERIKALI KUJA NA MPANGO WA DHARURA NA HARAKA KUTATUA CHANGAMOTO YA USAFIRI WA MWENDOKASI

    October 01, 2025
  • IDADI YA WATOTO WANAOZALIWA NA UZITO PUNGUFU YAPUNGUA

    September 26, 2025
  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa