• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC TWANGE AFANYA ZIARA KWENYE MIRADI YA ELIMU SEKONDARI. ATOA MAAGIZO KWENYE UWAJIBIKAJI WA PAMOJA

Posted on: March 11th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Lazaro Twange amesema kuna kazi kubwa ya kufanya  kwa wasimamizi wa miradi ya maendeleo hasa kwenye eneo la mawasiliano ili  kuwa na uwajibikaji wa pamoja katika kuhakikisha miradi hiyo inatekelezeka kwa wakati

DC Twange ametoa Kauli hiyo leo Machi 10, 2025 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya sekta ya elimu sekondari na  kubaini uwepo wa changamoto ya utoaji na upokeaji wa taarifa za utekelezaji wa miradi kuanzia ngazi  ya Halmashauri mpaka ngazi ya vituo vya kutolea huduma zikiwemo shule.

Ili kukabiliana na changamoto hiyo, DC Twange amesema kutafanyika kikao cha pamoja na wataalam wa ngazi ya Manispaa, kata Mitaa na vituo vya kutolea huduma ili kuweka mkakati wa pamoja wa namna bora na shirikishi ya kusimamia miradi na utoaji wa taarifa ya utekelezaji wa miradi kwa wakati

Katika ziara hiyo aliyotembelea miradi ya Elimu sekondari ikiwemo ujenzi madarasa, matundu ya vyoo, maabara na nyumba za walimu katika shule za Sekondari Ubungo NHC, YR Makamba, Makabe na Kulangwa ipo katika hatua za awali, umalizaji na mingine haijaanza kabisa kutokana na sababu mbalimbali

Mhe. Twange pia amebaini kuwa, changamoto ya uelewa wa mfumo mpya wa manunuzi na upatikanaji wa wakandarasi wenye uwezo wa kifedha ni moja ya sababu kubwa iliyosababisha miradi mingi kutokamilika kwa wakati

Mhe. Twange  ameeleza kuwa "Kuna baadhi ya miradi imetangazwa zaidi ya mara kumi na mkandarasi hajapatikana, hali hii imesababisa miradi mingi kuchelewa kuanza kwani baadhi ya shule zimepokea fedha tangu mwezi februari 2024 lakini hawajapata mkandarasi mpaka leo"

Bi mariamu  mkazi wa Kulangwa ameishukuru serikali kwa kujenga shule mpya katika mtaa wao kwani wanafunzi walikuwa wanatembea umbali mrefu kufuata shule lakini pia ni hatari sana kwa watoto wa kike kwani wengi walikuwa wakikutana na vishawishi mbalimbali

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa