• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC TWANGE ATAKA SPIDI YA UMALIZIAJI MIRADI IONGEZEKE, ATOA MAAGIZO

Posted on: March 3rd, 2025


Mkuu wa Wilaya Ubungo Mhe. Lazaro Twange ametoa maelekezo kwa wataalamu wa Manispaa ya Ubungo kuongeza kasi na ukaribu wa kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo katika shule za msingi zilizopo katika Manispaa hiyo ili kutekeleza azma ya Serikali ya kuboresha mazingira ya kujifunza na kujifunzia.

Mhe. Twange ametoa maelekezo hayo machi 3, 2025 wakati wa ziara  ya kukagua na  kutembelea miradi ya sekta ya elimu Msingi  ikihusisha ujenzi wa miundombinu hiyo katika shule  tano katika  Manispaa hiyo.

Mhe.Twange ameeleza kuwa, miradi yote mitano  aliyotembelea haijakamilika kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo uwepo wa mfumo mpya wa manunuzi, jiografia  mbaya kwa baadhi ya maeneo  pamoja na makadirio madogo ya gharama za mradi, hivyo amewasisitiza wataalamu kuhakikisha changamoto hizo zinaisha ili miradi hiyo ikamilike na kuanza kutumika kwa wakati

DC Twange amefafanua kuwa " tukumbuke kuwa kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita imetoa fedha zaidi ya bilioni 10  kwa ajili ya  uboreshaji wa miundombinu ya sekta ya elimu Msingi, hivyo  Mimi kama kiongozi nitaendelea kuwasimamia wataalamu na wakandarasi  kwa ukaribu ili miradi hiyo muhimu ikamilike na kutumika kwa wakati"

Katika ziara hiyo ambayo ni mwendelezo wa ziara za Mhe. DC wilayani humo,  ametembelea mradi wa ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo katika shule ya Msingi, Kilungule, milenium ya 3, Golani, King'azi "A" pamoja na  shule ya msingi Idrisa ambapo miradi hiyo iko katika hatua mbalimbali za utekelezaji  na inatarajiwa kukamilika ndani ya mwaka wa fedha 2024/2025

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa