• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC UBUNGO ATAKA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Posted on: January 2nd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amewataka watumishi wa Wilaya hiyo sambamba na Taasisi mbalimbali za Serikali zilizopo ndani ya Wilaya hiyo kuhakikisha wanatoa huduma stahiki kwa wananchi lengo ikiwa ni kuhakikisha dhima ya Serikali ya kutoa huduma bora kwa wananchi inafanikiwa.

Agizo hilo amelitoa tarehe 02/01/2024 alipokuwa kwenye kikao kazi kilichojumuisha watumishi mbalimbali wa Wilaya hiyo wakiwemo na Maafisa watendaji Kata na Mitaa, Waganga wafawidhi, Wakuu wa Shule, na wataalamu wa DAWASA, TANESCO na TARURA.

Mhe. Komba ameendelea kueleza kuwa muelekeo wa Wilaya hiyo kwa mwaka 2024 ni kuhakikisha huduma stahiki zinatolewa kwa wananchi sambamba na kuondoa michango isiyo na uhalisia mashuleni, kuondoa malalamiko ya wananchi juu ya utoaji mbovu wa huduma za afya, kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya umeme na maji ipaswavyo sambamba na kuhakikisha miundombinu ya barabara inaboreshwa.


Kwa upande mwengine Mhe Komba ameitaka Wilaya hiyo mbali na kutoa vitambulisho vya kadi za matibabu kwa wazee lakini pia kutenga bajeti kutoka kwenye mapato yake ya ndani kwa ajili ya kuwezesha mfuko wa matibabu ya bure ya wazee hao ili kusaidia kuondoa changamoto za matibabu kwa wazee.


“Serikali chini ya uongozi wa Rais. Dkt Samia Suluhu Hassan imefanya mambo mengi mazuri katika kuhakikisha huduma zinaboreshwa changamoto kubwa iliyopo ni baadhi ya watumishi ambao wamekuwa ni kikwazo cha kuichonganisha Serikali na wananchi wake kwa sababu tu ya utoaji mbovu wa huduma kwa wananchi, kutekeleza ujenzi wa miradi isiyo na viwango, changamoto ya umeme na maji, watumishi wa aina hiyo sitawavumilia fanyeni kazi kwa weledi kwa maslahi ya wananchi” alisisitiza Mhe. Komba.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Elias Runeye Ntiruhungwa amesema Manispaa hiyo inaendelea kuhakikisha huduma mbalimbali ikiwemo huduma za afya na elimu zinaendelea kuboreshwa huku wananchi wakienndelea kuwezeshwa kuyokana na mikopo ya asilimia 10 pamoja na uboreshaji wa miundombinu ya barabara kwa lengo la kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora.















Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa