• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC UBUNGO ATATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA SHEKILANGO NA MBEZI

Posted on: August 14th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kisare Makori tarehe 14/8/2020 atembelea eneo la soko la Shekilango na mbezi  ilikujionea changamoto ambazo wafanyabiashara wa maeneo hayo  wamekuwa wakilalamika na kuzitolea ufumbuzi changamoto zao.

Wakati akitembelea maeneo hayo aliongozana na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Ndg.James Mkumbo, Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic na wataalam kutoka katika Manispaa hiyo.

Dhumuni la kutembelea  katika masoko hayo ni kutatua changamoto  na kuhakikisha wafanyabiashara wanakuwa katika mazingira ya amani wanapokuwa  wanafanyabiashara zao.

Nitolee ufafanuzi wa eneo hili la soko la shekilango liko chini ya umiliki wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kuanzia leo ijulikane hivyo. alisema Makori

Aidha Dc aliagiza uchaguzi ufanyike wa kuchagua viongozi wapya wa soko la shekilango  na kufikia jumatatu uchaguzi uwe umefanyika  ili soko lipate  uongozi  mpya kwani muda wa ukomo wa viongozi wa masoko ni  mwaka mmoja tu kwa mujibu wa sheria za uendeshaji wa Manispaa pamoja na sheria ndogo za uendeshaji wa masoko.

Pia Dc aliongeza kuwa muda wa kudumu madarakani ni mwaka mmoja ila uongozi wa soko  uliopo sasa una zaidi ya mwaka mmoja kwa hiyo kuna kila sababu ya kufanya uchaguzi.

Vilevile makubaliano ya tozo za malipo  yaliyopitishwa kwa mabanda ya soko hili la shekilango ni elfu sabini na tano kwa mabanda ya mbele, elfu hamsini kwa mabanda yaliyo katikati na elfu ishirini na tano kwa mabanda ya nyuma.

Aidha niagize TAKUKURU kufanya uchunguzi katika suala zima la akaunti ya saccos ya soko  la shekilango kutokana na ukaguzi uliofanyika kuonyesha kuna ubadhilifu usio wa haki. Aliongeza Dc

Ikiwemo hati ya mashaka ya saccos hiyo, udanganyifu wa taarifa za fedha na kutokuitishwa kwa mkutano mkuu wa chama n.k

Sambamba na hayo kwa wafanya biashara wa Mbezi Dc  alisema kuwa "tunawajengea mabanda matano yenye thamani ya Milioni mianne na tisini na sabakwa ajili yenu.

Pia hakutakuwa na ulipaji wa kodi zaidi ya ushuru na kila mfanyabiashara kuhakikisha anakitambulisho cha mjasiriamali.

Mwisho Dc aliwataka wafanyabiashara kufanyabiashara kwa amani  baada ya changamoto zao kutatatuliwa na kukubaliana na maagizo yaliyotolewa.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa