• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC UBUNGO ATOA MAELEKEZO KWA WATENDAJI NA WENYEVITI WA MITAA

Posted on: June 22nd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James Leo tarehe 22/06/2022 ametoa maelekezo yafuatayo kwa watendaji na viongozi 


1. USAFI NA MAZINGIRA;


■DC amewataka watendaji wa Kata na Mitaa kuhakikisha usafi unaimarika kwenye maeneo yao ikiwa ni pamoja na kusimamia maeneo ambayo machinga wameondolewa na kuwaondoa wanaorudi ili mji uwe safi

■Ametoa siku Tatu kwa watendaji wa kata zilizopo Tarafa ya kibamba na Idara ya Mazingira  kuhakikisha wanasimamia usafi kwenye maeneo yao kwani ni machafu. 

Aidha, DC amezipongeza kata za tarafa ya Magomeni kwa kusimamia vyema uondoaji wa machinga kwenye maeneo yao.

• ULINZI NA USALAMA;

■James amewataka viongozi hao kuhakikisha mitaa yote inakuwa na vikundi vya ulinzi shirikishi, kuondoa kamluni ya  QNET kwenye mitaa yao  kwa  kuhakikisha wenye nyumba wote ambao wamepangisha kampuni hiyo wanawaondowa, 

■Ili kulinda maadili ya katika jamii DC amewataka watendaji na Wenyeviti kuhakikisha vigodoro na ngoma zinazovunja maadili zisichezwe kwenye maeneo yao.

• ANWANI ZA MAKAZI; 

■Ili kufanikisha zoezi la Sensa  ya watu ba makazi linalotarajiwa kufanyika mwezi Agosti,

DC amewataka watendaji na Wenyeviti kuhakikisha hadi kufikia tarehe 17 Julai,2022 zoezi la uwekaji wa vibao liwe limefikia 100% kwani asilimi 58% ni ndogo.

■Aidha, James ameipongeza kata ya Sinza kwa kuwa Kata ya kwanza Kiwilaya kufanikiwa zoezi hilo na ku kuelekeza viongozi wa kata hiyo  Mtendaji  Kata na Mhe. Diwani na   Mwenyekiti wa Mtaa wa Sinza C ambae amekuwa wa kwanza kumaliza zoezi hilo wapatiwe motisha kwa kazi Nzuri waliyoifanya. 

■Kwa wazabuni ambao wanalega kutekeleza jukumu hilo DC ameelekeza wachukuliwe hatua.

• USHIRIKISHWAJI WA     WANANCHI;

■DC amewataka viongozi hao kuhakikisha wananchi wanashirikishwa kwenye ajenda zote za maendeleo ya maeneo yao ikiwa ni pamoja na kuwajulisha fedha zote za miradi zinavyoingia na namna fedha hizo zinatumika.

■Aidha ametoa shukrani kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kuleta kidato cha  tano na sita katika shule ya Sekondari ya Mashujaa iliyopo Sinza na Kiluvya iliyopo Kibamba na amewataka viongozi hao kulipokea swala hilo kwa Kierkegaard mikakati bora kwa wanafunzi watakaopangiwa shule hizo.

Baadhi ya Wenyeviti na Watendaji kata na Mitaa wanasikiliza maelekezo yanayotolewa na  Mkuu wa wilaya ya ubungo Mhe. Kheri james kwenye kikao kazi kilichofanyika tarehe 22 Mei, 2022





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa