• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC UBUNGO AWAKABIDHI HUNDI WANUFAIKA WA MIKOPO

Posted on: August 11th, 2021

Manispaa ya Ubungo kwa mwaka wa fedha mpya wa 2020/2021  imetoa  mikopo isiyo na riba  yenye thamani ya shilingi  Millioni 567,440,000 kwa wajasiriamali 1086 kwenye vikundi 90 vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwakwamu kutoka kwenye wimbi la utegemezi na kufikia malengo 

Mikopo hiyo imetolewa  Leo tarehe 11 august 2021  ambapo vikundi hivyo vilipewa semina namna ya kuendesha biashara zao pamoja na namna watakavyopata pesa hizo    ambazo  shilingi 295,000,000.00 kutoka kwenye mfuko wa wanawake zitagaiwa kwa vikundi 56 , Tsh 221,790,000 kutoka kwenye mfuko wa vijana zitagaiwa kwa vikundi 27, na Tsh 50, 550,000 kutoka kwenye mfuko wa walemavu zitagaiwa kwa vikundi 7 

Akiongea wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyoanza Jana Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amewasisitiza wanufaika kuhakikisha wanafanya marejesho ya pesa za Serikali na kuhakikisha wanaweka malengo na pesa hizo watakazo pata pamoja na uaminifu 

"Wakina mama changamkieni Fursa hii, mkafanye maendeleo, mkaingize kipato na  Serikali inaendelea kuwajali na kuwathamini,   mkatumie pesa hizi ipasavyo. Alisema kheri

Alikadhalika Afisa Maendeleo Manispaa ya Ubungo  Rose Mpeleta  Aliewaeleza wanufaika wa mikopo kuwa   lengo la mikopo hiyo inayotolewa na Halmashauri   ni  nikumkwamua Mwanamke,kijana na watu wenye ulemavu kutoka kwenye wimbi la utegemezi ili waweze kufikie malengo yao

"Mfanye marejesho ili muweze kunufaika zaidi na zaidi, mikopo hii ni ya wote unapofanya marejesho na mwingine anaweze kukopa" alielezea Mpeleta

"Msichukue mkopo mkaenda kununua vijora, mhakikishe mnafanya mambo ya maendeleo ili muweze kufanya marejesho na kuweza kukopa tena" Alisisitiza  Mpeleta

Nae Michael Charles mnufaika wa mikopo hiyo inayotolewa na Halmashauri ameshukuru kwa Serikali kuweza kuwajali na kuahidi kuhakikisha kikundi chao kuwa mstari wa mbele kufanya marejesho




Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa