• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DIWANI KATA YA SINZA AZINDUA KAMATI YA USHAURI MPYA HOSPITALI YA SINZA

Posted on: March 4th, 2022

Diwani wa kata ya Sinza maanispaa ya Ubungo Rahael Nyange Awino amezindua rasmi  Kamati mpya ya hospitali ya Sinza parestina na kuitaka ifanye kazi yake Kwa ufanisi ili kuboresha huduma za afya katika hospitali hiyo. 


Awino, amezindua Kamati hiyo leo Machi 4, 2022 baada ya Kamati iliyopita kumaliza muda wake, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa lapazi uliopo lugulini na kuhidhuliwa na mganga Mkuu wa Manispaa hiyo.


Amesema, Kamati ya ushauri ya hospitali ni chombo mhimu Sana katika uendeshaji wa huduma za hospitali na ndio kiunganishi kikubwa cha wananchi na Serikali yao ngazi ya hospitali  katika utoaji wa huduma


Kazi yenu ni ya uwakilishi Kwa wananchi Kwa kusikiliza kero zao na kuziwasilisha Kwa wataalamu Kwa ajili ya utatuzi, wananchi wanatamani kupata huduma bora na ninyi ndio mtatimiza hitaji Lao Kwa kupunguza malalamiko Yao"


Awino, ameendelea kisistiza kuwa Kamati hiyo lazima ibuni mfumo mzuri wa kushughulikia malalamiko kabla hayajafika ngazi za juu ikiwemo changamoto ya upatikanaji wa Sawa, nidhamu ya watumishi na utoaji wa huduma sahihi Kwa gharama wanazozimudu.


"Kamati hii inawawakilisha wananchi katika kufanya maamuzi juu ya utoaji wa huduma katika hospitali, Kamati ni look cha  menejimenti ya hospitali inatumia kupata mrejesho  wa namna wanavyotoa huduma zamatibabu Kwa wananchi tukatimize julumu Hilo mhimu.


Katika kuthibitishwa nafasi Yao ya uwakilishi Kwa jamii, wanakamati wameahidi kufanyika daraja nzuri Kati ya  Serikali na wananchi Kwa kuhakikisha hospitali inatoa huduma Bora


Aidha, wanakamati wameahidi kuhamasisha jamii wajiunge na bima ya afya ili wananchi wawe na uhakika wa kupata huduma wakati wote bila shida yoyote.



Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa