• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DMDP AWAMU YA PILI KUJENGA KILOMITA 41 ZA LAMI WILAYA YA UBUNGO

Posted on: June 13th, 2023

Mapema leo Juni 13, 2023 waratibu wa mradi wa mradi wa uendelezaji wa mkoa wa Dar es Salaam (DMDP) wamefanya kikao kazi na baraza la madiwani pamoja na wataalamu wa Manispaa ya Ubungo juu ya mradi wa ujenzi wa Miundombinu unaotarajiwa kuanza kutekelezwa April 2024

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ambapo Mtaalam wa Mazingira na Masuala ya Kijamii - Kitengo cha Uratibu wa Miradi ya Mkopo nafuu ya World Bank Ndg. Agness A Kishenyi amesema kuwa mradi wa DMDP awamu ya pili utagharimu Dola za kimarekani Milioni 350 na mradi rasmi unatarajiwa kuanza kutekelezwa mwezi Aprili 2024 baada ya kukamilika kwa tathmini ya jumla ya miradi

Kwa Manispaa ya Ubungo mradi huo kwa awamu ya kwanza unatarajia kujenga KM 41 kwa kiwango cha lami ambapo barabara ya Msumi imetengewa KM 8.21, barabara ya Suca KM 6.1, barabara ya Makoka KM 3.51, barabara ya Goba Wakorea KM 5, barabara ya Malamba King'azi KM 2, barabara ya Konoike KM 1, barabara ya Posta Matembe KM 0.83, barabara ya Sheikh Bofu KM 1.13, barabara ya Segesera KM 0.41, barabara ya Sinza Lion KM 0.84, barabara ya Sigara KM 0.45, barabara ya Mbegani KM 0.65, barabara ya Namnani KM 0.27, barabara ya Chimwaga KM 0.33, barabara ya Shule KM 0.28, barabara ya Mikindani KM 0.73, Barabara ya Ubungo NHC KM 1.3, barabara ya Milenia Tatu KM 2.88, barabara ya Hondogo Shija KM 4.2, na barabara ya Beda Amoury KM 1

Wakichangia taarifa hiyo waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Ubungo wameipongeza serikali kwa kufanikisha mradi huo pia wametoa michango ya maboresho ikiwemo kugawanya idadi ya kilomita kwa kata husika kulingana na mahitaji halisia ya kata hizo

Akichangia mada diwani wa kata ya Goba Mhe. Esther Ndoha amesema "Kwa Manispaa ya Ubungo mahitaji ya miundombinu bado ni mkubwa hivyo basi kwa kata zilizopata ni vema kuzigawanya kidogo kidogo kwa maeneo yenye uhitaji mkubwa ili kutatua changamoto za maeneo yote korofi" alisema


Nae mbunge wa jimbo la Ubungo Mhe. Prf. Kitila Mkumbo amewapongeza waheshimiwa madiwani wote kwa jinsi wanavyosemea changamoto za kata zao na pia amewaomba kutoa ushirikiano mkubwa kwenye utekelezaji wa mradi












Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa