• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

FEB 15 CHANJO YA SULUA RUBELA UBUNGO

Posted on: February 12th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashimu Komba amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kuanzia miezi 9 na usiozidi miaka mitano kuhakikisha wanapatiwa chanjo ya Surua na Rubella inayotarajiwa kutolewa hivi karibuni

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa baraza la Kamati ya ushauri la Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashimu Komba ambae ni Mkuu wa Wilaya hiyo alipokuwa kwenye Baraza hilo lililofanyika leo tarehe 12/02/2024 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa hiyo kwa ajili ya kupitisha makisio ya mpango na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 lililohudhuliwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, kamati ya ulinzi ya Wilaya na viongozi mbalimbali wa Wilaya hiyo.

Pamoja na hayo Mhe. Komba amewataka wajumbe wa baraza hilo kuwa mabalozi wa kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kampeni hiyo katika jamii hususani kwa watoto.

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Afya Dkt. Tulitweni Mwinuka ameeleza kuwa Wizara ya Afya, OR-TAMISEMI  kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imeandaa kampeni ya Kitaifa ya kutoa Chanjo ya Surua na Rubella kwa watoto hao lengo ikiwa ni kuwakinga na kuwalinda dhidi ya madhara yanayotokana na magonjwa hayo.

Dkt. Tulitweni ameendelea kueleza kuwa kampeni hii itafanyika Nchi nzima kuanzia tarehe 15-18 Februari, 2024 katika Vituo vya kutolea huduma za chanjo na maeneo maalumu yaliyoandaliwa ikiwemo masoko, Shule, nyumba za ibada, mashambani, vituo vya mabasi, kambi za wakimbizi,  kambi za wavuvi au sehemu ambazo kuna watoto na vituo vya mipakani.


Akiongelea madhara ya magonjwa hayo Dr. Tulitweni ameeleza ugonjwa wa surua na rubella usababisha madhara makubwa kwa watoto waliokwenye umri wa chini ya miaka mitano na hata vifo, hivyo watoto wote watapatiwa chanjo hii hata kama wameshapata chanjo katika utaratibu wa kawaida wa kutoa huduma za chanjo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa