• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HAKUNA KIFO CHA MAMA MJAMZITO UBUNGO OKTOBA HADI DISEMBA

Posted on: March 21st, 2024

Bodi ya afya Manispaa ya Ubungo imeipongeza Manispaaa hiyo kwa utoaji bora wa huduma za afya hasa ikiwemo huduma ya mama na mtoto ambapo kwa kipindi cha robo ya pili kuanzia mwezi oktoba mpaka disemba 2023 hakuna kifo cha mama kilichotokana na uzazi.

Akizungumza wakati wa kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli za idara ya afya ustawi wa jamii na lishe katika kipindi hicho, mwenyekiti wa bodi hiyo ndugu Allan Sempoli amesema kuwa kutokuwa na kifo cha mama wakati wa kujifungua kwa kipindi cha miezi mitatu ni ishara kuwa wataalamu wa afya wanafanya kazi kwa weledi mkubwa na kujitoa sana kwa wananchi.

Sempole amesema kuwa juhudi zilizotumika kuzuia vifo vya mama wajawazito wakati wa kujifungua ziende sambamba na kuzuia vifo vya watoto wachanga kwa kuendelea kutoa elimu kwa wajawazito kuhudhuria mapema kliniki, kutumia dawa za kuongeza damu, lishe bora na kutumia dawa za malaria kwani ndio visababishi vikubwa vya vifo vya watoto wachanga au watoto kuzaliwa kabla ya wakati (njiti).

“Najua mnafanya kazi kubwa wataalamu wa afya lakini baodi inawasisitiza kuweka mipango mahususi ya kupunguza vifo hivi 37 vya watoto wachanga vilivyotokea katia kipindi hiki cha miezi mitatu” alielekeza Sempole.

Aidha, Kutokana na wagonjwa wengi wenye maambukizi ya HIV kutorudi kwenye huduma, wajumbe wa bodi wameshauri idara ya afya kuja na utaratibu mzuri zaidi wa kuwafatilia wagonjwa hao ili waendelee kupata huduma kwani katika kipindi cha miezi mitatu ni wateja 59 tu kati 2316 waliorudi kupata huduma za matibabu.

Kuhusu lishe, bodi imepongeza zoezi la utoaji wa chakula kwenye shule 247 kati 259 za msingi na sekondari sawa na 95.3%  kwani ndio msingi wa kuwa na jamii yenye afya kiakili na kimwili, hivyo bodi za shule zipewe elimu zaidi kuhakikisha wazazi wanachangia chakula shuleni ili kila mtoto apate chakula akiwa shule.

 Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa idara hiyo, mganga Mkuu wa manispaa hiyo Dkt. Tulitweni Mwinuka maeeleza kuwa, Manispaa hiyo ina jumla ya vituo 263 kati ya hivyo  24 ni vya serikali na 239 ni binafsi.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa