• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HALMASHAURI KUU YA CCM YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI

Posted on: October 1st, 2023

Mkutano wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM)umefurahishwa na  utekelezaji mzuri wa Ilani kwa kusimamia vyema miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya manispaa ya Ubungo

Akitoa pongezi hizo Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ubungo Ndg, Rogath Mbowe alimpongeza Mkuu wa Wilaya kwa kuwasilisha vyema ilani na utekelezaji mzuri wa ilani na pia amekuwa na ushirikiano mkubwa na viongozi wa chama na kumpatia zawadi ya shilingi Milioni 1.

Mbowe Aliendelea kusema kuwa, Mkurugenzi nikupongeze kwa kukupa zawadi ya shilingi laki 5 umesimamia vyema utekelezaji wa miradi na uliweza kutatua changamoto kwa haraka 

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi kwa kipindi cha Januari - Juni 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Hashim Komba alisema kuwa wingi wa watu waliopo wilaya ya Ubungo kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 ni 1,086,912 ambapo wanaume ni 519,925 na wanawake ni 566,987

Alizungumzia hali ya ulinzi na usalama kwa Wilaya ya Ubungo ni salama na Serikali itaendelea kuhakikisha Wilaya inakuwa salama muda wote.

Na pia uhusiano uliopo kati ya chama na Serikali ni mzuri na ushirikiano unaotolewa ni mkubwa niendelee kumshukuru mwenyekiti wa chama Wilaya ya Ubungo kwa ushirikiano huo na pia baraza la madiwani, Wabunge,  Mkurugenzi na watumishi wa Halmashauri

Aliendelea kwa kusema kuwa, hali ya uchumi katika wilaya ya ubungo  ni nzuri na kwa kuhakikisha hilo  usimamizi wa makusanyo katika vyanzo vya mapato unasimamiwa 

vizuri na kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Manispaa ya Ubungo ilifanikiwa kukusanya  bilioni 31 

Katika utekelezaji wa miradi Wilaya ya Ubungo imefanikiwa kuwezesha sekta ya afya kwa ujenzi wa vituo wa vya afya Goba, Makuburi n.k na pia sekta ya  elimu ambapo kumekuwa na sera ya elimu bila malipo na utekelezaji wa ujenzi wa miradi ambayo Serikali Kuu ilitoa fedha ikiwemo miradi ya Boost na Sequip upo vizuri, 

Halikadhalika Utekelezaji wa miradi ya mtandao wa barabara ambapo barabara ya king'ongo, maji tayari ujenzi wa tanki la maji la mshikamano umemalizika na uboreshaji wa masoko umefanyika ikiwepo soko la Simu 2000


pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo  Mhe. Hashim Komba akisoma taarifa ya utekelezaji wa Ilani 













Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa