• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YATEMBELEA UBUNGO

Posted on: April 15th, 2024

Wageni kutoka Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakiwemo Madiwani na wataalamu wa  Halmashauri hiyo wamefanya ziara yakutembelea Manispaa ya Ubungo lengo likiwa ni  kujifunza namna Ubungo inavyokusanya mapato na uendeshaji wa Kituo cha mabasi cha Magufuli

Wageni hao pia wametembelea kiwanda cha kuchakata taka Xin Li packaging material kilichopo Mabibo na kujionea Taasisi ya utunzaji wa Mazingira Hudefo inavyofanya shughuli zake za uzalishaji bidhaa kwa kutumia takataka

Akiwakaribisha  tarehe 15 April, 2024 Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Mhe. Jaffari Nyaigesha amesema kuwa Ubungo imefarijika kwa ujio wao na kuwaelezea namna Manispaa ya Ubungo imekuwa ikikusanya na kusimamia mapato kwa ufanisi na namna inavyoendesha Kituo cha mabasi katika ukusanyaji wa mapato

Akisoma taarifa ya kituo cha Mabasi Magufuli Meneja wa  stendi hiyo Isihaka Waziri amesema kuwa makusanyo katika Kituo hicho kwa mwaka wa fedha 2023/2024 mpaka kufikia Machi 31 imekusanywa kiasi cha shilingi 3,339,414,206/= ambapo Manispaa imekadiria kukusanya kiasi cha shilingi 6,000,000,000/= kwa mwaka mzima.

Isihaka aliendelea kusema kuwa, makusanyo hayo  yanatokana na vyanzo mbalimbali ikiwemo mageti ya mlangoni ya kieletroniki ambayo kila mtu anayeingia katika stendi hiyo analipia kiasi cha shilingi 300na vyanzo vingine vinavyotumika kwa ajili ya kukusanya mapato ni pamoja na ushuru wa bodaboda, bajaji, tax, magari binafsi, mabasi, matangazo n.k

Nae Mkuu wa kitengo Cha usimamizi wa taka Ngumu na Usafi waazingira Manispaa ya Ubungo Lawi Bernad amesema kuwa, katika Manispaa hiyo Uzalishaji wa taka kwa siku ni takribani tani 828 na taka hizo nyingi zinazalishwa kutoka majumbani na Halmashauri imeendelea kuhakikisha taka hizo zinakusanywa na kupelekwa dampo

Aliendelea kueleza kuwa, Wazabuni wanaotumika katika uzoaji wa taka hizo ni wale ambao wapo katika Kata na Mitaa husika lengo ni kurahisisha uzolewaji wa taka hizo kwa wakati.

Akishukuru kwa niaba ya madiwani hao kutoka Dodoma jiji naibu Meya Asma Karama ameishukuru Manispaa ya Ubungo kwa mapokezi na kueleza namna walivyojifunza mengi kuhusu namna mfumo mzima wa mapato katika Kituo Cha Magufuli

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa