• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

HALMASHAURI YA UBUNGO YAIBUKA KINARA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA DSM

Posted on: July 20th, 2022



Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Hospital, Vituo vya Afya na Zahanati wameibuka washindi na Kupatiwa tuzo ya heshima katika utoaji wa huduma Bora za Afya Kati ya Halmashauri tano za Mkoa huo katika kipindi Cha mwaka 2021/2022


Ubungo imeshika nafasi ya kwanza kwa kupata alama 237 ikifuatiwa na Halmashauri ya Temeke ikiwa na alama 236 na Halmashauri ya Kigamboni imeshika nafasi ya tatu kwa kupata alama 235


Akizungumza wakati wa kufunga kikao Cha Mwaka Cha Siku mbili kilicholenga kupata tathmini ya utendaji kazi wa sekta ya Afya Mkoa wa Dar es salaam, Katibu Tawala wa Mkoa huo Hassan Abbas Rugwa amepongeza sekta ya Afya kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya katika utoaji wa huduma Bora za Afya.

Aidha Rugwa ametoa zawadi kwa Hospital ya rufaa ya Amana kwa kushika nafasi ya kwanza Kati ya hospital tatu za rufaa kwa kupata alama 118 ambapo Hospital ya rufaa Temeke imeshika nafasi ya pili kwa kupata alama 107 hospital ya rufaa Mwananyamala imeshika nafasi ya tatu na kwa kupata alama 102.


Pamoja na hayo Rugwa ametoa zawadi ya vyeti kwa Halmashauri zilizofanya vizuri katika kipengele Cha uandaaji wa mipango ambapo Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam imeshika nafasi ya kwanza kitaifa ya kwanza kimkoa, ikifuatiwa na Halmashauri ya Kinondoni nafasi ya pili kitaifa na ya pili kimkoa na Kigamboni nafasi ya tano kitaifa na tatu kimkoa.


Hata hivyo Rugwa ametoa zawadi ya cheti kwa Amana Kituo Cha kuwahudumia Wagonjwa wa virusi vya UKIMWI pamoja na kwamba walifungiwa mwaka Jana Kutokana na UVIKO19 lakini bado wamefanya vizuri kuliko wengine huku akitoa vyeti kwa Ithibati ya kimataifa ya maabara kwa Hospital ya sinza Palestina, Hospital ya Mbagala rangi tatu, Hospital ya rufaa Temeke, Mwananyamala RRH, Amana RRH pamoja na hospital ya mnazi mmoja ambao Wameshinda kwa Mwaka huu.


Wakati huohuo Rugwa ametoa zawadi kwa Manispaa zilizofanya vizuri kwenye kipengele Cha Usafi wa Mazingira ambapo Hospital ya rufaa Temeke imeshika nafasi ya kwanza kimkoa na nafasi ya pili kitaifa ikifuatiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa